Naona imebaki rekodi moja tu kuivunja
Tunaenda kuwatolea uko kwao Arsenal mjiandae,Fergie alichemsha jana kumuanzisha striker mmoja kwenye game ya nyumbani na huyo GARRY NEVILE kila siku anafungisha
Wachezaji walikuwa na uchovu kucheza game 2 ndani ya siku 3
Man United ndio timu ya kwanza ya England kubeba Champions League
Man United ndio timu ya kwanza ya England kubeba FIFA Club World Cup
na tutakuwa timu ya kwanza ya England kushinda Ureno
Na tutakuwa timu ya kwanza ya England......................
Nafikiri jibu mnalo
Ambayo ni kuchukua kombe mara 2 mfululizo!
teh teh teh teh!
Kwa red devils wote, nafanyia kazi hii project...1st trailer ila SFX kwenye titles kama unatumia speaker ndogo itakuwa inakwaruza(samahani kwa ilo), nimefanyia marekebisho ila sijapata muda wa ku-upload kwenye youtube. ushauri, mapendekeze vinakaribishwa.
YouTube - Manchester United; Then and Now
Kinachouma ni kuwa jamaa kasema hana mpango wa kuondoka England ,huenda Liverpool,Chelsea au Man City wakamnyakua soma hayo mahojiano yake
[URL="http://www.newsoftheworld.co.uk/sport/article296197.ece"]http://www.newsoftheworld.co.uk/sport/article296197.ece[/URL]
ferguson naye vipi lakini kumpiga chini kijana wa watu, na anacheza-GA kwa moyo na nguvu zote! tena jamaa aipenda timu kaa nini!MBU Arsenal ,Prof Wenger hawezi kulipa hela ya kumsajili Tevez
MBU Arsenal ,Prof Wenger hawezi kulipa hela ya kumsajili Tevez
ferguson naye vipi lakini kumpiga chini kijana wa watu, na anacheza-GA kwa moyo na nguvu zote! tena jamaa aipenda timu kaa nini!
Naona TEVEZ anataka kudhihirisha kuwa anastahili kupewa mkataba,mmeona uwanja mzima wanavyomshangilia TEVEZferguson naye vipi lakini kumpiga chini kijana wa watu, na anacheza-GA kwa moyo na nguvu zote! tena jamaa aipenda timu kaa nini!
Anatikisa tikisa kichwa tu..lol..kibri kibri..
Jamaa naona anaondoka,Fegie hebu mpange game ya mwisho mashabiki wamuage hapo Old Trafford
Tevez resigned to Old Trafford exit | Latest News | Football News from TEAMtalk