Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Sir Alex Ferguson-We will win again next season
Congrats to all MANUNITED fans
Next is Rome
 
610x.jpg

610x.jpg
 
Picha ya mwisho kabla Mbu na wenzake hawajaanza kulalamika...
610x.jpg

Kwa watani wetu wote ahsanteni sana kwa msimu mwingine uliokuwa umejaa upinzani,ushindani na msisimko wa hali ya juu.
 
I doubt my friend...
Kwa kikosi tulichonacho hakuna timu itakayotunyanganya hilo kombe ,Arsenal wasahau kabisa ,Chelsea wataleta kocha mwingine ambae nae huenda asimalize msimu atatimuliwa,Liverpol huu ndio ulikuwa msimu wa kuchukua ubingwa hamtawezi kurudia form ya msimuu huu
 
nawapa pole mashabiki wa Arsenal -- msimu wa nne sasa wanatoka kapa -- yaani bila kombe! Hawa hawakuipenda Arsenal kwa sababu ya ujuzi, bali kwa sababu ya chuki dhidi ya ManU hasa baada ya ile treble ya 1998/99.

Kuhusu Liverpool, ambao leo tume-equal nao katika league titles -- wao walijiona sana na kujisahau baada ya ushindi wao mnono wa 4-1 dhidi ya Man -- wakaendelea tu kusherehekea huku wenzao walijipanga upya na kuendeleza wimbi la ushindi na kujilimbikizia pointi. Poleni Liverpool.
 
Sawa HONGERENI lakini subirini KIPIGO toka Bacelona tarehe 27 May. Nasi tunakwenda kujifua tutaonana mwakani!
 
First and foremost hongereni mashetani wenzangu wa ukweli kwa kulibeba kombe mara ya 18, for sure imekuwa ni season yenye kila aina ya ushindani..am glad we are through!..

Pia am grateful kwa Liverpool na Chelsea, for sure wamekuwa wasindikizaji wazuri sana, wasikate tamaa, hata season ijayo ipo pia na nafasi wanayo pia vilevile, ila maisha wakae wakijua ni kama TALANTA, siku zote mwenye nyingi huwa anaongezewa.

Ushauri wa bure tu kwa fans ambao sio wa Manutd, to be honest, u are still young guyz, huhitaji ugonjwa wa Moyo, vidonda vya tumbo etc kwa kushangilia timu zenye kujaza watu presha (sijaitaja Arsenal)...plz karibu CAPITAL OF TROPHIES, MANUTD!....usajili ni bure tu, just PM me them u get the membership card..lol!

Tukutane Rome, kwenye hafla ya kuchukua kombe letu la NNE!
 
Da angalau sasa hivi Berbertov nae hatajisikia mpweke Locker room amepata medali yake Premier League

 
Icadon,Idimi,Manda,Roya Roy na mashabiki wote wa Manchester
United,I would like to send my warmest congratulations to you
and yours for winning the EPL.Japo sikutaka lakini nd'o hivyo
tena lazima tumeze wembe ntuwasubiri musimu ujao.

Big ups to you all for being loyal supporters and my rivals.
Regards.
 
Da angalau sasa hivi Berbertov nae hatajisikia mpweke Locker room amepata medali yake Premier League

Ni kweli mwache Berbatov naye apate medali akawalingishie wenzake aliowaacha Tottenham mainly Robbie Keane.

Ab-Tichaz, nashukuru sana kwa pongezi zako, si unaujua ule msemo wa kiswahili kutangulia sio kufika(goes to Liverpool aka You'll Never Walk with Anything).
 
raha sanaaaaaaaaa. Kweli mchumia juani hulia kivuli maana kwa mwendo ule wa mpk X-mass tulikuwa bado tunasuasua lakini mwishowe tumelichukua tena kweli NATURAL BORN CHAMPS
 
Katika kusherekea ubingwa, nafikiria kuwazawadia mashetani wekundu wenzangu wote nyimbo mbali mbali za Manchester United. Niambieni njia gani itakuwa rahisi kwenu kupata hizo nyimbo.
 
Picha ya mwisho kabla Mbu na wenzake hawajaanza kulalamika...
610x.jpg

Kwa watani wetu wote ahsanteni sana kwa msimu mwingine uliokuwa umejaa upinzani,ushindani na msisimko wa hali ya juu.

...😱 heee!? kombe la nini hilo wamechukua?
 
Back
Top Bottom