First and foremost hongereni mashetani wenzangu wa ukweli kwa kulibeba kombe mara ya 18, for sure imekuwa ni season yenye kila aina ya ushindani..am glad we are through!..
Pia am grateful kwa Liverpool na Chelsea, for sure wamekuwa wasindikizaji wazuri sana, wasikate tamaa, hata season ijayo ipo pia na nafasi wanayo pia vilevile, ila maisha wakae wakijua ni kama TALANTA, siku zote mwenye nyingi huwa anaongezewa.
Ushauri wa bure tu kwa fans ambao sio wa Manutd, to be honest, u are still young guyz, huhitaji ugonjwa wa Moyo, vidonda vya tumbo etc kwa kushangilia timu zenye kujaza watu presha (sijaitaja Arsenal)...plz karibu CAPITAL OF TROPHIES, MANUTD!....usajili ni bure tu, just PM me them u get the membership card..lol!
Tukutane Rome, kwenye hafla ya kuchukua kombe letu la NNE!