We acha tu, naona tumeamshwa!..loh,hawa Spurs mmh!
Mzima lakini BJ? naona mmeanza vibaya leo na SAF anatafuna Big G yake kama ugomvi ha ha ha ha lakini mpira ni dakika 90 na bado kuna dakika kibao. Chelsea wanaendelea na 100% perfect record yao baada ya Malouda kuziona nyavu za Stoke dakika za majeruhi (93rd minute)
Haya Belinda chekelea kidogo.
Thanks Eq, nimeiona na atleast nimechekelea na kuruka ruka..sasa naangalia match kwa raha flani!.
sasa sijui nani anabebwa hapa
siamini kwamba Man U wako kumi uwanjani...aisee
Belinda uko wapi