Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Naona Giggs ameamua kuwanyamazisha critics wake waliopiga kelele kuhusu kupewa PFA Player of the Year award, mjamaa yuko kwenye form sana season hii naomba aendelee hivi hivi. Berbatov naye alishine jana.
Hata msimu huu hadi sasa ana nafasi kubwa kuretain tuzo yake
 
Point 3 na magoli mengi leo ni muhimu sana katika kujikita kileleni. Kila la kheri Man u.
 
duuhh naona na leo mmependelewa muda mpaka mkasawazisha
 
duuuhh yaani hiii ingekuwa aibu kweli.......Manda, Belo, Belinda mko wapi leo
 
Wkend yenu haijaharibika sana wakuu!
Hongera kwa kuchomoa wakuu.
 
duuuhh yaani hiii ingekuwa aibu kweli.......Manda, Belo, Belinda mko wapi leo

Kuna mtu anaitwa Ben Foster akili zake kama kipa wa Simba, ndio katufanya tuione weekend chungu.
 
Back
Top Bottom