Manchester United (Red Devils) | Special Thread
...na ulegee!

Jamaa wametoroka baada ya kuona Man U wameshilikia usukani wa ligi. N hii huenda ikawa ndio "for good" hadi mwisho wa ligi.

Chelsea poleni sana!

Wasitoke nduki mchezo maana kila wakituombe njaaa basi kwetu inakuwa mavuno ha ha ha
 
...na ulegee!

Jamaa wametoroka baada ya kuona Man U wameshilikia usukani wa ligi. N hii huenda ikawa ndio "for good" hadi mwisho wa ligi.

Chelsea poleni sana!

Karibu Veteran wetu...wapinzani tushawazoea wewe page 5 za thread zajazwa na wao tuu?, nadhani this weekend wamekosa cha kusema, ila huwa hawakosi hawa, nahisi wanaugulia maumivu ya JJB Stadium....Lol..!
 
Ha ha ha! Shwari mkuu, c unajua excitment?

Mbonea; Excitment in as far as Manutd they are concerned i guess will be in each and every week, hence forth kufika May mwakani utakuwa na unnecessary thread zaidi ya 50!.... Kuwa mwelewa tu 'coz it not once umeanzisha thread za one match, fanya kufwata ushauri ili wote tulifurahie jukwaa na tumpunguzie mzigo Mod wetu, Ab Tchaz.
Ni mtizamo tu...

BTW; Karibu sana jamvini...
'.
 
Dimitar-Berbatov-Stoke-City-Manchester-United_2365552.jpg

John-O-Shea-Stoke-City-Manchester-United-Prem_2365562.jpg
 
Hawa jamaa wametubana sana lakini tutawapiga tu, tumepoteza nafasi kadhaa muhimu kama 3. Nadhani second half mambo yataenda vizuri.
 
Hawa jamaa wametubana sana lakini tutawapiga tu, tumepoteza nafasi kadhaa muhimu kama 3. Nadhani second half mambo yataenda vizuri.

Ndio ukubwa huo mtani, huko tayari wamewaonja, nategemea mtarudisha tu.
 
Mtu mzima AC Milan kamatatwa na FC Zurich pale pale Italy kwa 1 : 0. Timu za Italy zina hali mbaya jana Inter imetoka sare na Rubin Kazan. Kazi kweli kweli.
 
...na ulegee!

Jamaa wametoroka baada ya kuona Man U wameshilikia usukani wa ligi. N hii huenda ikawa ndio "for good" hadi mwisho wa ligi.

Chelsea poleni sana!

Acha udaku kwenye soka ligi si ndo kwanza imebisha hodi? Poa wana endeleeni kukamua tutakutana cku mkija darajani!
 
Naona Giggs ameamua kuwanyamazisha critics wake waliopiga kelele kuhusu kupewa PFA Player of the Year award, mjamaa yuko kwenye form sana season hii naomba aendelee hivi hivi. Berbatov naye alishine jana.
 
Sure Mkubwa, wengi wetu tunasahau kuwa ukiwa mwongo/mbishi lazima uwe na kumbukumbu, at the end of the day tukiwa tunamtetea s'body/maamuzi fulani, huwa tuna base on facts, henceforth pple should take note of wat happened before.

One Love One United....
 
Back
Top Bottom