Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Hizi ni salamu kwa Liverpool naamini kina Giggs,Evra,Rooney watarudi uwanjani
 
Umeanza mtani!!!! Nakumbuka huwa unatulia kama unakata gogo ukibanwa.. we haya weh!!!
 
Vasili-Berezutski-Anderson-CSKA-Moscow-v-Man-_2375487.jpg

Aleksei-Berezutski-Trip-Dimitar-Berbatov-CSKA_2375494.jpg

Antonio-Valencia-Goal-CSKA-Moscow-v-Man-Unite_2375491.jpg

Asante kwa picha.J2 usisahau kutuwekea picha ya Reina akiokota mpira wavuni na chinene Banitez akiweka mikono kichwani kama kaiwaida yake.
 
Tehe tehe...pamoja na kubebwa na Refa mambo doloooooooooo,yaani mpaka dakika ya 97...lol,Hongera zenu Liverpool
 
Matokeo ni matokeo tu, timu yetu imecheza vizuri, makosa machache na tumepoteza chance 2 za magoli. Liverfool walitumia nafasi walizopata vizuri na ndio kilichotokea kimetokea. Wachezaji hawawezi kulaumiwa, SAF anaweza kulaumiwa kwa kushindwa kuwapush vijana kucheza mchezo wa kushambulia zaidi, kutomtumia sana Valencia (mipira ya pembeni) na kumuacha Scholes muda mrefu bila kumbadilisha na Nani japo dakika za 60 hivi. Anyway bado tupo ktk kutetea ubingwa wetu.

Wale wanaodai refa alikuwa akitupendelea ndiyo wale wanaoita nyekundu nyeupe. Refa amefanya makosa kadhaa kipindi cha kwanza yaliyoonyesha wazi yupo na Liverpool. Anyway, maneno ya wapinzani ndiyo hayo.

Tuna gemu next sunday na Blackburn (home), CSK Moscow (home) na Jpili inayofuata Chelsea hivyo tunahitaji kuconcentrate huko.
 
Endelea kujifariji tu mkuu
 
aliyekuwa mwiba kwa ManU leo ni yule Myahudi...........
 
'Man U......Red Devils Hatushikiki'.....Tarartibu tu mtashikika

Hawashishiki namna gani tena wakati ndo wameishageuzwa mdebwe...Acha Jpil hii inayokuja ipite then muone ile itakayofuata nini kitawatoke darajani.
 
Hizi ni salamu kwa Liverpool naamini kina Giggs,Evra,Rooney watarudi uwanjani

Yeah right!! We saw Rooney, Evra and Giggs... Huhuuu.... Haaaa haaaaaa haaaaa😀😀😛😛😀😀😛😛

When the game was over today, i remembered one good song niliimba miaka mingi iliyopita

Makari hodari kaenda safari yooo
Katika safari kakuta hatari yooo

.............................
..............................

Mama yake kimamba madonda kalamba
nitie kipamba mwanaanguu yooooo😛
 
Hawashishiki namna gani tena wakati ndo wameishageuzwa mdebwe...Acha Jpil hii inayokuja ipite then muone ile itakayofuata nini kitawatoke darajani.

Tatizo hitu tutimu tudogotudogo tunaikamia sana Man U.....anyway Rafa kasevu kibarua chake for now
 
Ferdinand kwa sasa hatufai,amekuwa kama Senderous
 
Back
Top Bottom