This is what i was talking about, sijui MTM kanielewa?, for sure safari ya Benitez imewadia this time.

At the end of the day itabakia sie na Chelski kuchekeleaaaaaa!
 
kabumbu linaendelea mpala sasa hivi ni 2:1 cska москва wanaaongoza
 
dragoef alifunga dakika ya 25 Oweni akarudisha dka ya 29...krasic akaongeza lingine dk ya 31/cska 2 man 1
mpira haujaisha
 
Nani kakosa goli la kichwa ilipigwa kona mpira haukukaa fresh kichwani kwake ukatoka nje
 
MPAKA SASA IVI DAKIKA YA 42 MAN U 1 CSKA МОСКВА(MOSCOW) 2
Mira haujaisha
 
na sasa ivi cska wanaongoza kwa 3:1 siamini kwamba ni old traford
 
na sasa ivi cska wanaongoza kwa 3:1 siamini kwamba ni old traford

Mpira ni dkk 90 sikutegemea kabida MANU wafungwe leo, naona SFA atawapa mchamkamchaka mkubwa maana Jumapili CHELSEA wanawasubiri wawafanye vibaya.
 
rooney anaingia dk ya 58 nani anatoka...ngoja tuone kitu gani rooney na oweni watafanya humu ndani kumbuka sasa ni dakika ya 61
 
dakia ya 62 roney anawakosakosa kwa mpira wa kichwa uliotoka kwa nevviles
 
Mpira ni dkk 90 sikutegemea kabida MANU wafungwe leo, naona SFA atawapa mchamkamchaka mkubwa maana Jumapili CHELSEA wanawasubiri wawafanye vibaya.

Top guns wote wamepumzishwa lol....naona Rooney na Evra wameingia sasa...
 
Mpira ni dkk 90 sikutegemea kabida MANU wafungwe leo, naona SFA atawapa mchamkamchaka mkubwa maana Jumapili CHELSEA wanawasubiri wawafanye vibaya.

...mbaya zaidi hawa CSKA mfadhili wao ni huyo huyo Abramovich...si ndio atacheka wiki nzima?
 
Ahahahhahahhahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhahahhahhahhahahhahhahahhahahhahahhahahhahahhahahahhahahhahahhahhahahhahhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
3:3 mpira umekwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…