ndani a old traford??? mrusi umetoka kwenye mabarafu unataka kusema nini сука cska(цск&#1072😉ahahaha!!
 
...dah,
ama kweli nyie machampioni!
Hongera zenu bana 😀

Asante unapocheza na Man U cheza dk zote 90. Tena wanabahati sana, nyingi zimegonga post, hiyo inaonyesha strikers hawakuwa makini. Hata hivyo SAF aliamua kuchezesha akinadogo.
 
only manutd can do it, ni mentality gani wachezaji waliyokuwa nayo maana yake timu zingine haziwezi kucheza mpira mpaka dakika ya mwisho
 
03/11/2009 17:00, Report by Nick Coppack

United win twin appeal

Manchester United has been successful in appealing Fabio da Silva's booking at Barnsley on the grounds of mistaken identity.

Referee Chris Foy mistakenly showed Fabio a yellow card in the latter stages of the Reds' 2-0 win at Oakwell after the full-back's twin brother, Rafael, had committed a foul.

The Football Association have now confirmed the booking will be removed from Fabio's record and instead applied to Rafael's. It's Rafael's first caution of the season.

Last Friday Sir Alex confirmed United had lodged an appeal with the FA but admitted he hadn't noticed on the night that Foy had made a mistake.

"I had no idea," he said. "It was the players who picked up on it. I think it's right to appeal the decision. If we get to January and Fabio reaches five bookings [and receives a subsequent suspension] because of this incident then we'd feel a bit aggrieved.
source:manutd.com
 
Hii ndio Manchester United (RED DEVIL),wamshukuru sana kipa wao.Waliktaka kutuvunjia rekodi yetu
 
SIR ALEX sasa atafute wachezaji wa kucheza mpira wa kupendeza aachane na kina NANI, timu mabingwa mara 11 lakini bado inacheza mpira wa ujanja ujanja
 
Hii ndio Manchester United (RED DEVIL),wamshukuru sana kipa wao.Waliktaka kutuvunjia rekodi yetu

Kwa kupona katika dakika za mwisho hamuwezekani jamani nyie....lakini
itakuja watumbukia nyongo tu subirini.
 
Kwa kupona katika dakika za mwisho hamuwezekani jamani nyie....lakini
itakuja watumbukia nyongo tu subirini.
Unatakiwa kucheza football mpaka filimbi ya mwisho,ingekuwa Arsenal au Chelsea wangepigwa bao
 
.....Kwa kupona katika dakika za mwisho hamuwezekani jamani nyie.....

Hii ni kweli kbs, na hii spirit ya KUFA KIUME imeanza miaka mingi kidogo, ni vijana wanarithishana, kizazi na kizazi. Usihesabu umeishinda Man U kabla filimbi ya dk 90 haijalia. Take note of this for future reference!

Unatakiwa kucheza football mpaka filimbi ya mwisho,ingekuwa Arsenal au Chelsea wangepigwa bao

Sure!
Long live Man U
 
Unatakiwa kucheza football mpaka filimbi ya mwisho,ingekuwa Arsenal au Chelsea wangepigwa bao

Na wewe unaonekana MOYONI mwako unaipenda sana CHELSEA sema basi tu unaogopa; ucjali karibu sana darajani achana na timu ya kukupa ugonjwa wa moyo kila cku, yaani hadi majogoo ndio mnakumbuka shuka!!! 😀
 
Mara hii mshasahau haya maneno "Can Manchester United score? They always score"
Mpaka leo nikiangalia dakika 5 za mwisho za mechi mwili unanisisimka.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=CFSfnL-vaG0[/ame]

vs Liverpool
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=EYiO7PoCZyY[/ame]
 
Na wewe unaonekana MOYONI mwako unaipenda sana CHELSEA sema basi tu unaogopa; ucjali karibu sana darajani achana na timu ya kukupa ugonjwa wa moyo kila cku, yaani hadi majogoo ndio mnakumbuka shuka!!! 😀
Sijawahi na sitawahi kuipenda Chelsea hata siku moja
Ugonjwa wa moyo ni hapo kwenu kila kocha akija anatimuliwa

UNITED TILL I DIE
 
Sijawahi na sitawahi kuipenda Chelsea hata siku moja
Ugonjwa wa moyo ni hapo kwenu kila kocha akija anatimuliwa

UNITED TILL I DIE

Ok mkuu mwenzangu una la kujitetea?
Manake mambo ndo vile tena kila m2 kajionea.....so?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…