Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Zimerudi zote babu!! Hehehe
...dah,
ama kweli nyie machampioni!
Hongera zenu bana 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimerudi zote babu!! Hehehe
...dah,
ama kweli nyie machampioni!
Hongera zenu bana 😀
Hii ndio Manchester United (RED DEVIL),wamshukuru sana kipa wao.Waliktaka kutuvunjia rekodi yetu
Unatakiwa kucheza football mpaka filimbi ya mwisho,ingekuwa Arsenal au Chelsea wangepigwa baoKwa kupona katika dakika za mwisho hamuwezekani jamani nyie....lakini
itakuja watumbukia nyongo tu subirini.
.....Kwa kupona katika dakika za mwisho hamuwezekani jamani nyie.....
Unatakiwa kucheza football mpaka filimbi ya mwisho,ingekuwa Arsenal au Chelsea wangepigwa bao
Unatakiwa kucheza football mpaka filimbi ya mwisho,ingekuwa Arsenal au Chelsea wangepigwa bao
Sijawahi na sitawahi kuipenda Chelsea hata siku mojaNa wewe unaonekana MOYONI mwako unaipenda sana CHELSEA sema basi tu unaogopa; ucjali karibu sana darajani achana na timu ya kukupa ugonjwa wa moyo kila cku, yaani hadi majogoo ndio mnakumbuka shuka!!! 😀
Sijawahi na sitawahi kuipenda Chelsea hata siku moja
Ugonjwa wa moyo ni hapo kwenu kila kocha akija anatimuliwa
UNITED TILL I DIE