Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni lijinga. Kumbe mishabiki mijinga Kama hii bado ipo😬Mtamkumbuka kipara mazwazwa nyie.
Zile 8 za kipindi kile bado zinakuumaPunda wewe
Nyumbu ni Nyumbu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Subiri kikishawaramba tunawaomba msilikimbie jukwaa lenu, leo ni siku yetu ya kupunguza gape la points3 dhidi ya Arsenyau.
Duh.Zile 8 za kipindi kile bado zinakuuma
Nisaidienì kwa nini ikawa kipa hakai sawa, na wachezaji wa man utd hawana habari na wale wanaojitenga mbele ya kona??When Arsenal get a corner, it is almost like a penalty
Nisamehewe mganga, lamri imeenda sivyo.Punda wewe
Kufungwa na timu iliyokuzidi najua haiwaumiAya mmeshashinda ubingwa wenu wa kumfunga Manchester
Tukutane FA hatuwezi fungwa mara mbili
😃😃 tukutane FAKufungwa na timu iliyokuzidi najua haiwaumi
Tunawatoa FA hilo nina uhakika naloMuhindi alipowapa odds 10+ mlimuona mjinga au sio
Kwakua Hakika Ruben atataka kuwarudishia imani mashabiki kwakua leo anaweza akajikuta anarudi nafasi ya 13 anaweza akafunga full mkoko FA.😃😃 tukutane FA