Manchester United (Red Devils) | Special Thread
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ETH ni kizazi cha kina Endruuu Chernge A.k.a Joka la Makengeza.
Watoto wa mjini hawa hua hawalali njaa, pamoja na ufisadi wote ila mwisho wa msimu zikipigwa hesabu Utd ndio inakua namba moja Epl kwa maokoto, hivyo kuliko pesa yote ya faida kuchukua watoto wa marehemu Gilaza na huyo tajiri mwembamba bora na hawa watoto wa mjini wajimegee tu kabisa fungu la 10
Masingeli hizi pesa zinavyokuuma utafikiri zimechomolewa kwenye mfuko wako wa suruali.
ETH muhuni sana yule jamaa🤣🤣
 
Manjesta ishageuka Shamba la bibi

ETH ana akili sana ,nadhani atakuwa na utajiri mkubwa sana

Alifungua kampuni la kitapeli linaitwa SEG akawa msimamizi ni mwanae ,

Wamepiga ,10% za kutosha

Hojlund kanunuliwa *€85m badala ya €35m

Anthony Santos makudubela kanunuliwa €100m badala ya €25m

Mount €60m badala ya €35m

Zaka za kazi Joshua mutale €40m badala ya €20m

List ni ndefu sana

Amourine asijifanye hii timu ya baba yake ,amuulize ETH
Antony masebene €100 badala ya €25
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe nawe funga bakuli lako, nyinyi mlishapiga £60m zenu kwa Freemason Mount, Masingeli povu linamtoka kwa kuona kwenye huu ufisadi unaoendelea Arsenyau hawajalamba hata mia mbovu.
Hapana ujue nini kwenye maisha najifunza vingi sana ,ETH alijua kucheza na fursa na aliaminika sana

Mwamba alikuwa mjanja sana ,kwenye FA na Carabao anaweka mziki mnene ,mwisho wa msimu wakimuhoji anawaonesha Carabao

Ndio maana interview zake nilikuwa sikosi ,lazima asema

WE WON TROPHIES

Walipoanza kumbana sana akasema akitoka Pep hakuna kama Yeye

🤣🤣🤣
 
Man city a.k.a Bumbuwazi Fc na Mjinga mwenzao Man utd watapishana tu mwaka mmoja kushuka daraja,

Man utd atatangulia alafu mkewe Bumbuwazi Fc atafuata...Na hapo ndipo Mfanyabiashara nguli mzee bakhrese ataanza kuangalia namna gani ya kupata haki miliki za kuonyesha Championship.
 
ETH muhuni sana yule jamaa[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji23] Mambo yamebadilika siku hizi ulimwengu wote unaendeshwa kwa mifumo ya kibepari, mambo ya ujamaa na kujitegemea yalimalizikia kwenye Azimio la Arusha.
Sasa hivi ukipata nafasi unajimegea zako fungu la 10 mapemaaaa halafu mambo mengine yanaendelea.
 
Tukishuka sijui Natalia sijui ntacheka bado sijui
1000293100.jpg



Hapo kaci ipo
 
Back
Top Bottom