Manchester United Tunahitaji ushindi wa Goli 19-0 kesho

Manchester United Tunahitaji ushindi wa Goli 19-0 kesho

Hata Bongo kitu hicho hakiwezekani, Eti uifunge timu pinzani goli 20-0!!!!! Never
Acha wewe hii kibongo bongo inawezekana tena chini ya utawala prezda malinzi aaaaaah mbona kabla ya half time 19-0.
 
Leo ni siku ya kumuaga lvg jaman

Sitegemei uwepo wake mwakani
 
Bongo Ishatokea sema Timu zote zikashushwa Daraja na Marefaree wakafungiwa na fine... Kipindi cha Kwanza walienda Dakika zaidi ya 80

hahaha eti dakika 80 kipindi cha kwanza , kweli aliyeturoga bongo alishakufa!!
 
Hzo ni ndoto za jikoni.
Unapika ugali huku unaota unakula waruuuuuuuuuu
 
Muda Umewadia... inatakiwa hadi Dakika ya Kumi tuwe tunaongoza Goli Tano
 
Hahaha

Jamani mda bado pengne dakka zojazo tuaanza kupunguza deni
 
Back
Top Bottom