barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Acha wewe hii kibongo bongo inawezekana tena chini ya utawala prezda malinzi aaaaaah mbona kabla ya half time 19-0.Hata Bongo kitu hicho hakiwezekani, Eti uifunge timu pinzani goli 20-0!!!!! Never
Ila inawezekana wakicheza na wale wafuga vyura wa pale jangwani.Hizo goli hata wakicheza na simba hawazipati kamwe.
Van gaal bonge la kocha.....Van Gaal sijui ataondoka lini maana huwa Namtukana sana... Ni Lini anaondoka nipunguze Dhambi hii ya Kutusi
Bongo Ishatokea sema Timu zote zikashushwa Daraja na Marefaree wakafungiwa na fine... Kipindi cha Kwanza walienda Dakika zaidi ya 80