Manchester United Tunahitaji ushindi wa Goli 19-0 kesho

Manchester United Tunahitaji ushindi wa Goli 19-0 kesho

Dah Tumejipanga na lazima tuifunge AFC Bournemouth Goli zaidi ya Ishirini na tutaishusha Man City nafasi ya Nne tunahitaji kucheza Champion League 2016-2017 maana UEFA ndogo sio level Yetu...ni ya kina Liverpool..

Tukutane Uefa mwakani mkuu,mmefanikiwa vyema.
😀😀😀
YNWA
 

Attachments

  • 1463549326458.jpg
    1463549326458.jpg
    26.1 KB · Views: 21
Tukutane Uefa mwakani mkuu,mmefanikiwa vyema.
😀😀😀
YNWA
Haha kumbe wafahamu maana Mkifanikiwa leo kuchukua Uefa mnaenda CHAMPIONS league lakini mwisho wenu ni makundi mnakutana na sisi tukiwa na moto balaa tutawacharanga kumi bila...😀😀😀
 
Back
Top Bottom