Manchester united wali terminate mkataba wa Ronaldo kutokana na Interview , Kwa nini Yanga ni wagumu kwa Fei toto?

Baada ya interview ya Cristiano Ronaldo na Piers Morgan Man united wakaamua kusitisha mkataba na Ronaldo haraka sana.

Ni man united ndio walishinikiza mkataba uvunjwe kwa makubaliano kutokana na kusemwa vibaya kwenye interview. Hawakuogopa labda sijui akina Martial, Bruno wataiga hivyo walazimishe tu kuwa na Ronaldo au Ronaldo labda atahamia Man city. Vyote hivyo hawakujali.

Fei toto kaiongelea vibaya yanga, kasema hataki kuichezea yanga, Sasa kwa nini yanga wasimuachie Fei toto kwa makubaliano? Hata kama mchezaji hayupo kambini lakini mkimtumia ujumbe wa kutaka kuvunja mkataba kwa makubaliano hawezi kukataa.

Mchezaji alieisema vibaya klabu kuna faida gani akirudi kambini? Kutaka kumkomoa au kutarajia fidia kutoka kwa mchezaji ni kutojitambua kwa klabu.
Mtarukaruka lakini mwisho wa siku atakayeumia ni Huyo Mtu wenu. Yaani mchezaji akitoka akabwabwaja huko inakuwa sababu ya timu kumuacha? Kwa nini usikubaliane na njia waliyoitumia Yanga ambayo ni yao wenyewe na hawajavunja sheria yoyote Ila unataka wafuate walichofanya Man U?
 
Kila mtu na maisha yake nawe muige jilani yako kununua ndege na ma v8 kwanza ukifanikiwa njoo uishauri yanga hapa
 
Baada ya interview ya Cristiano Ronaldo na Piers Morgan Man united wakaamua kusitisha mkataba na Ronaldo haraka sana.

Ni man united ndio walishinikiza mkataba uvunjwe kwa makubaliano kutokana na kusemwa vibaya kwenye interview. Hawakuogopa labda sijui akina Martial, Bruno wataiga hivyo walazimishe tu kuwa na Ronaldo au Ronaldo labda atahamia Man city. Vyote hivyo hawakujali.

Fei toto kaiongelea vibaya yanga, kasema hataki kuichezea yanga, Sasa kwa nini yanga wasimuachie Fei toto kwa makubaliano? Hata kama mchezaji hayupo kambini lakini mkimtumia ujumbe wa kutaka kuvunja mkataba kwa makubaliano hawezi kukataa.

Mchezaji alieisema vibaya klabu kuna faida gani akirudi kambini? Kutaka kumkomoa au kutarajia fidia kutoka kwa mchezaji ni kutojitambua kwa klabu.
Wapi feitoto ameiongelea yanga vibaya
 
Mtarukaruka lakini mwisho wa siku atakayeumia ni Huyo Mtu wenu. Yaani mchezaji akitoka akabwabwaja huko inakuwa sababu ya timu kumuacha? Kwa nini usikubaliane na njia waliyoitumia Yanga ambayo ni yao wenyewe na hawajavunja sheria yoyote Ila unataka wafuate walichofanya Man U?
Ya Man u ni nzuri zaidi ipo kiprofessional. Ya yanga ipo kimihemko.
 
Bongo tunazingua sana, kama mkataba upo na unafaa kuvunja kwanini wasimuache aende. HIli suala TAKUKURU inabidi iingilie kati.
 
Baada ya interview ya Cristiano Ronaldo na Piers Morgan Man united wakaamua kusitisha mkataba na Ronaldo haraka sana.

Ni man united ndio walishinikiza mkataba uvunjwe kwa makubaliano kutokana na kusemwa vibaya kwenye interview. Hawakuogopa labda sijui akina Martial, Bruno wataiga hivyo walazimishe tu kuwa na Ronaldo au Ronaldo labda atahamia Man city. Vyote hivyo hawakujali.

Fei toto kaiongelea vibaya yanga, kasema hataki kuichezea yanga, Sasa kwa nini yanga wasimuachie Fei toto kwa makubaliano? Hata kama mchezaji hayupo kambini lakini mkimtumia ujumbe wa kutaka kuvunja mkataba kwa makubaliano hawezi kukataa.

Mchezaji alieisema vibaya klabu kuna faida gani akirudi kambini? Kutaka kumkomoa au kutarajia fidia kutoka kwa mchezaji ni kutojitambua kwa klabu.
Huna akili wewe. Yan unasema club haijitambuibkwa kusimamia sheria? Watu wengine sijui shule mnaenda kusomea ujinga
 
Baada ya interview ya Cristiano Ronaldo na Piers Morgan Man united wakaamua kusitisha mkataba na Ronaldo haraka sana.

Ni man united ndio walishinikiza mkataba uvunjwe kwa makubaliano kutokana na kusemwa vibaya kwenye interview. Hawakuogopa labda sijui akina Martial, Bruno wataiga hivyo walazimishe tu kuwa na Ronaldo au Ronaldo labda atahamia Man city. Vyote hivyo hawakujali.

Fei toto kaiongelea vibaya yanga, kasema hataki kuichezea yanga, Sasa kwa nini yanga wasimuachie Fei toto kwa makubaliano? Hata kama mchezaji hayupo kambini lakini mkimtumia ujumbe wa kutaka kuvunja mkataba kwa makubaliano hawezi kukataa.

Mchezaji alieisema vibaya klabu kuna faida gani akirudi kambini? Kutaka kumkomoa au kutarajia fidia kutoka kwa mchezaji ni kutojitambua kwa klabu.
Kwani Yanga ni Manchester United? Mtasema maneno yote! Ila mkataba hautavunjwa kienyeji kama mlivyotaka.

Mwambieni kijana wenu aje akae meza moja na Yanga, ili wafikie makubaliano ya kuuvunja huo mkataba waliongia. There is no shortcut.
 
Umenielewa Vizuri... yeye kaleta uswahili sasa anafundishwa adabu, haiwezekani mtu mmoja akataka kuivuruga taasisi..

Ukiruhusu kitu alichofanya yule bwana mdogo kiwe ni sahihi machoni pa wachezaji wote, kuna siku utaamka utakuta timu mzima imeterminate contract...

Feisal aende akakae mezani, taasisi hua hazifanyi kazi kwa huruma, hua zinafuata utaratibu!
Yeye ameleta uswahili akafundishwa kuwa zama za uswahili tulishahama huko Yanga inaendeshwa kisomi siyo kiswahili inaangalia maslahi ya timu na mstakabali wa timu kwa jumla.
 
Baada ya interview ya Cristiano Ronaldo na Piers Morgan Man united wakaamua kusitisha mkataba na Ronaldo haraka sana.

Ni man united ndio walishinikiza mkataba uvunjwe kwa makubaliano kutokana na kusemwa vibaya kwenye interview. Hawakuogopa labda sijui akina Martial, Bruno wataiga hivyo walazimishe tu kuwa na Ronaldo au Ronaldo labda atahamia Man city. Vyote hivyo hawakujali.

Fei toto kaiongelea vibaya yanga, kasema hataki kuichezea yanga, Sasa kwa nini yanga wasimuachie Fei toto kwa makubaliano? Hata kama mchezaji hayupo kambini lakini mkimtumia ujumbe wa kutaka kuvunja mkataba kwa makubaliano hawezi kukataa.

Mchezaji alieisema vibaya klabu kuna faida gani akirudi kambini? Kutaka kumkomoa au kutarajia fidia kutoka kwa mchezaji ni kutojitambua kwa klabu.
Nadhani mkuu umeoanisha juu juu tu bila kuangalia kwa undani

1. Ronaldo alifanya Interview na kuiongelea vibaya timu na wachezaji. Hii kwa namna moja au nyingine tayari ilishatengeneza tension kati yake na wachezaji ambao anatakiwa ashirikiane nae.

Ila upande wa Fei, hana issue yoyote na wachezaji wenzake. Swala lake ni dhidi ya club. Lakini pia hajawahi fanya interview yoyote kuiongelea timu, zaidi ya posts chache kwenye social medias, tena kipindi sakata ndio linaanza.

2. Man Utd walivunja mkataba wa Ronaldo kisheria, tena baada ya kupitia vifungu vyote na kuangalia kama kuna kifungu ambacho Ronaldo alivunja. Na pia waliangalia uwezekano wa kuvunja mkataba bila timu kuingia gharama za ziada. Na hadi kufikia kuvunja ule mkataba, pande zote mbili zilikaa pamoja.

Ukija kwa Fei, anataka mkataba uvunjwe, ila hataki kukaa mezani na timu yake ili kuweza kufikia makubaliano ya namna ya kuuvunja.

3. Man Utd kuvunja mkataba na Ronaldo walipata faida, kuliko hasara. Ronaldo alikuwa amebakiza miezi 6, msimu ungeisha alikuwa anaondoka kwenda popote atakapo na Man Utd hawakuwa na position ya kutengeneza hela kupitia yeye (na hata yeye alivyofanya ile interview, ili aliliona na ndilo lilimpa nguvu). Man Utd walisave hela nyingi ambazo ilibidi wamlipe kama mshahara na bonuses kwa kipindi kilichokuwa kimebaki.

Ila ukija kwa Fei, bado anamkataba na Yanga ambao unaweza kuipa timu faida. Kuuvunja huu mkataba juu kwa juu, au kwa kuoneana huruma, basi mwenye kufaidika ni Fei, maana atakuwa mchezaji huru, na hela ya usajili ambayo ilibidi iende kwa timu, itaenda kwake.

4. Ronaldo alichokifanya alikuwa anakijua, na mazingira yanaonesha hakuwa influenced. Pia mengi aliyoyaongea ni ya kweli kabisa, kosa pekee alilofanya ni kwamba aliyasema in public, kitu ambacho kiofisi sio sahihi.

Ila ukirudi kwa Fei, Iko wazi kabisa hakuwa anajua ni kitu anafanya. Na hata mambo ambayo amekuwa akiongea, unaona kabisa hayana mantiki au sio kosa la timu. Mshahara wa milioni 4, alafu anakwambia nyumbani kwake alikuwa anakula ugali na sukari, kitu ambacho in reality hakimake sense. Hata hivyo jinsi mfanyakazi anavyoishi nyumbani kwake, sio jukumu la ofisi. Alichotakiwa ni kuangalia namna ya kuweza kuomba kuboreshewa maslahi ( kama ilo ndio lilikuwa tatizo), au kama ameamua kuondoka, basi afate taratibu.

5. Ronaldo kabla hajafanya ile interview, alikuwa ameshajipanga kwa kila kitu. Na ndio maana alilianzisha kipindi cha break ya ligi kupisha world cup. World cup imeisha, akapata timu kwa hela nzuri zaidi, now anacheza. Waswahili wanasema, kabla hujaanza jamb, ujue na namna ya kulimaliza, dalili ziko wazi Fei hakuwa anajua anachofanya, na ndio maana mpaka leo bado haelewi afanye nini, maana option rahisi iliyopo mbele yake, anaiogopa kama ukoma. Uoga unaosababishwa na aibu. Anabaki kuandika mitandaoni kuwa anawakilisha wazawa.

Mkumbusheni tu, Kuna tofauti ya kuwakilisha wazawa, na kuharibu career yake. Hao anaojidai anawawakilisha, daily wanakamua uwanjani na maisha yanaenda. Atafute namna nzuri ya kuwawakilisha, maana mpira sio kuwa na kipaji pekee, form uwanjani na bahati pia vina nafasi yake. Benchi na majeruhi linaua sana ndoto za wachezaji.

* *** ******* ******* ***** ****** ****

Hii issue ya Fei, wengi mnaiangalia kishabiki zaidi, kuliko kiuhalisia. Tena na hivi Simba wamekata tamaa kwenye mbio za ubingwa, hawapo CAF, na ikitokea wametolewa kwenye Azam federation, habari za Fei ndio zitazidi kuibuliwa, huku zikiwa na hoja mfu. Mwanzoni lengo ilikuwa ni kuivuruga Yanga, ila wamejikuta wao ndio wanavurugika, walisahau kuangalia matatizo ya timu yao, wanashtuka jua limezama, hata kombe la twita wamelikosa. Watakomaa sana na issue ya Fei, maana ndio furaha ya wanasimba ilipobakia.

Ila ukweli upo wazi na utaedelea kubaki wazi. Waliomshauri dogo walimuingiza chaka.
 
Back
Top Bottom