Manchester united wali terminate mkataba wa Ronaldo kutokana na Interview , Kwa nini Yanga ni wagumu kwa Fei toto?

Umenielewa Vizuri... yeye kaleta uswahili sasa anafundishwa adabu, haiwezekani mtu mmoja akataka kuivuruga taasisi..

Ukiruhusu kitu alichofanya yule bwana mdogo kiwe ni sahihi machoni pa wachezaji wote, kuna siku utaamka utakuta timu mzima imeterminate contract...

Feisal aende akakae mezani, taasisi hua hazifanyi kazi kwa huruma, hua zinafuata utaratibu!

Kwa nini mnajificha kwenye kichaka cha timu nzima kuvunja mkataba? Sikatai inaweza kutokea, lakni hadi sasa hatujashuhudia hilo.

Lakini pia, unapswa ujiulize kama unahofu hiyo, je unatoa competitive benefits kwa wachezaji wako?
Kama jibu ni hapana, tarajia lolote litakukuta. Lakini ikiwa ni ndiyo, wachache wenye njaa ya mafanikio yao watakukimbia kufuata mema zaidi.

Hizi habar za kukomoana ni ushamba na utoto. Kama amekosa mpigeni faini na kumfukuza klabuni. Aende kwenye timu zinazowapokea wachezaji wahuni. Lakini uto hawataki kujitikisa, eti arudi kambini. Wachezaji wakngapi mmeshawafukuza kambini kwa kuvunja mikataba.

Ila kwa Fei inawauma sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini yeye hataki kuja mezani kuvunja?
 
Kuhusu faini si aje sasa ajue kama atalipa Bilion 2 au 3.. mbona haji achukue karatasi yake ya faini?
 
Shemeji yako akimuacha mkewe na wewe utamuacha mumeo?
 
Kwa nini mnajificha kwenye kichaka cha timu nzima kuvunja mkataba? Sikatai inaweza kutokea, lakni hadi sasa hatujashuhudia hilo.

Lakini pia, unapswa ujiulize kama unahofu hiyo, je unatoa competitive benefits kwa wachezaji wako?
Kama jibu ni hapana, tarajia lolote litakukuta. Lakini ikiwa ni ndiyo, wachache wenye njaa ya mafanikio yao watakukimbia kufuata mema zaidi.

Hizi habar za kukomoana ni ushamba na utoto. Kama amekosa mpigeni faini na kumfukuza klabuni. Aende kwenye timu zinazowapokea wachezaji wahuni. Lakini uto hawataki kujitikisa, eti arudi kambini. Wachezaji wakngapi mmeshawafukuza kambini kwa kuvunja mikataba.

Ila kwa Fei inawauma sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe jamaa kichwa chako ni mfuniko wa shingo huna hata tone la ubongo hujiwezi taabani kiakili ni ZERO
 
Wewe maoni yako ni yapi? Sio unatoa lugha za kuudhi dhidi ya wenzako.

Toa hoja tuone weledi wako ndugu. Acha ujuaji na dharau.
 
Baada ya interview ya Cristiano Ronaldo na Piers Morgan Man united wakaamua kusitisha mkataba na Ronaldo haraka sana.

Ni man united ndio walishinikiza mkataba uvunjwe kwa makubaliano kutokana na kusemwa vibaya kwenye interview. Hawakuogopa labda sijui akina Martial, Bruno wataiga hivyo walazimishe tu kuwa na Ronaldo au Ronaldo labda atahamia Man city. Vyote hivyo hawakujali.

Fei toto kaiongelea vibaya yanga, kasema hataki kuichezea yanga, Sasa kwa nini yanga wasimuachie Fei toto kwa makubaliano? Hata kama mchezaji hayupo kambini lakini mkimtumia ujumbe wa kutaka kuvunja mkataba kwa makubaliano hawezi kukataa.

Mchezaji alieisema vibaya klabu kuna faida gani akirudi kambini? Kutaka kumkomoa au kutarajia fidia kutoka kwa mchezaji ni kutojitambua kwa klabu.
hapo kwenye aya ya pili umeandika swala la kuvunjwa mkataba kwa makubaliano...hapo ndipo lilipo tatizo la feisal hatakaki kukaa na yanga wakakubaliana hili swala ndo maana tumefika huku,vitu vingine mnajua ila kujitoa akili
 
Back
Top Bottom