Manchester united wali terminate mkataba wa Ronaldo kutokana na Interview , Kwa nini Yanga ni wagumu kwa Fei toto?


Kwa nini mnajificha kwenye kichaka cha timu nzima kuvunja mkataba? Sikatai inaweza kutokea, lakni hadi sasa hatujashuhudia hilo.

Lakini pia, unapswa ujiulize kama unahofu hiyo, je unatoa competitive benefits kwa wachezaji wako?
Kama jibu ni hapana, tarajia lolote litakukuta. Lakini ikiwa ni ndiyo, wachache wenye njaa ya mafanikio yao watakukimbia kufuata mema zaidi.

Hizi habar za kukomoana ni ushamba na utoto. Kama amekosa mpigeni faini na kumfukuza klabuni. Aende kwenye timu zinazowapokea wachezaji wahuni. Lakini uto hawataki kujitikisa, eti arudi kambini. Wachezaji wakngapi mmeshawafukuza kambini kwa kuvunja mikataba.

Ila kwa Fei inawauma sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini yeye hataki kuja mezani kuvunja?
 
Kuhusu faini si aje sasa ajue kama atalipa Bilion 2 au 3.. mbona haji achukue karatasi yake ya faini?
 
Shemeji yako akimuacha mkewe na wewe utamuacha mumeo?
 
Wewe jamaa kichwa chako ni mfuniko wa shingo huna hata tone la ubongo hujiwezi taabani kiakili ni ZERO
 
Wewe jamaa kichwa chako ni mfuniko wa shingo huna hata tone la ubongo hujiwezi taabani kiakili ni ZERO

Wewe maoni yako ni yapi? Sio unatoa lugha za kuudhi dhidi ya wenzako.

Toa hoja tuone weledi wako ndugu. Acha ujuaji na dharau.
 
hapo kwenye aya ya pili umeandika swala la kuvunjwa mkataba kwa makubaliano...hapo ndipo lilipo tatizo la feisal hatakaki kukaa na yanga wakakubaliana hili swala ndo maana tumefika huku,vitu vingine mnajua ila kujitoa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…