Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
HERE WE GO!
Kwa mujibu wa Fabrizio Romano na Sky Sport Manchester United imefikia makubaliano ya Kumunua kiungo wa mpira kutoka Atalanta ya Italy kwa kiasi cha €45 sawa na £39 na nyongeza zinazoweza kuongezeka kama atafikia mafanikio fulani. Ederson ata sign mkataba wa miaka minne na mwaka mmoja wa nyongeza (Optional). Taratibu za Vipimo na Vibali zinaendelea