Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kwa hiyo katiba imepiga marufuku rais kushtakiwa? Akistaafu jee hawezi kushtakiwa?Katiba ya sasa hairuhusu rais kushitakiwa
Kumbe? Itakuwa ni deterrent nzuri kama na mali zake za wizi zinataifishwa.A
Acha ujinga, aibe miaka yote akiwa madarakani aje ashitakiwe baadae?
Haimdhibiti Rais hata akifanya makosa hivyo wateule wa Rais wakiiba anao uwezo wa kuwalinda. Rais ana uwezo wa kumkata za DPP kuendelea na kesi.Kwani katiba tuliyonayo inaruhusu wizi na utoroshaji wa mali za umma?
Chadema Kuna wizi mkubwa, hasa fedha za michango ya wabunge na ruzukuHaimdhibiti Rais hata akifanya makosa hivyo wateule wa Rais wakiiba anao uwezo wa kuwalinda. Rais ana uwezo wa kumkata za DPP kuendelea na kesi.
Umeandika ujinga uliopuuzwa na wajinga wenzako. Naona kila mtu anapambania nafasi ya uchawa. Vijana mmekimbia shule na kujiunga na uwanaharakati msiofahamu faida na hasara zake huko vijijini kwenu.Bila kuwa na katiba itayodhibiti wizi na utoroshaji wa mali za umma. Tunakwenda kuumia. Maana hii miaka mitatu mpaka uchaguzi mkuu ufanyike tutaibiwa sana.
Mandamano yaitishwe nchi nzima bila kujali itikadi zetu.
Tupate katiba ambayo hata Rais au waziri akifanya ufisadi anafikishwa mahakamani bila kinga.
Ikiwezekana anyongwe hadharani.
Mleta mada kaamua kuwa chawa wa wale wanaotaka kupiga hela kupitia vikao hivyo vya katiba. Ndio maana wenye akili wameupuuza uzi wake.Nyie chadema sijui mna Akili gani...hivi Kenya SI Wana katiba mpya na nzuri kushinda yetu?mbona ufisadi ni mkubwa kushinda wetu?...katiba is just a piece of papers...na mwanadamu ndo anaiongoza hivyo lolote linaweza kutoka...
NB: ni wajinga tu ndo wanaamini KATIBA ndo suluhisho la matatizo yetu
Sasa unataka mimi niandamane wakati wewe mke wa mwanasiasa umekaa barazani unaangalia tv? Hii ni akili au tope?Mtz hawezi kuandamana labda umlipe, hata ukimlipa hato andamana ni vigeu geu sana ss