Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo. Anayo kinga hata akitoka madarakani.Ndiyo katiba inasema hivyo?
Umejuaje kuwa Kenya kuna ufisadi mkubwa kuliko kwetu? Wametushinda kwa kiwango gani? Na huo ufisadi ulipimwaje?Nyie chadema sijui mna Akili gani...hivi Kenya SI Wana katiba mpya na nzuri kushinda yetu?mbona ufisadi ni mkubwa kushinda wetu?...katiba is just a piece of papers...na mwanadamu ndo anaiongoza hivyo lolote linaweza kutoka...
NB: ni wajinga tu ndo wanaamini KATIBA ndo suluhisho la matatizo yetu
Suala la wizi na Ufisadi ni Hulka na sifa za mt ,haitokani na uwepo wa katiba Mpya kamwe.Bila kuwa na katiba itayodhibiti wizi na utoroshaji wa mali za umma. Tunakwenda kuumia. Maana hii miaka mitatu mpaka uchaguzi mkuu ufanyike tutaibiwa sana.
Mandamano yaitishwe nchi nzima bila kujali itikadi zetu.
Tupate katiba ambayo hata Rais au waziri akifanya ufisadi anafikishwa mahakamani bila kinga.
Ikiwezekana anyongwe hadharani.