Mandamano yaitishwe nchi nzima kushinikiza kupatikana katiba mpya ili kudhibiti mafisadi wa CCM. Vinginevyo tukisubiri baada 2025 tutaumia

Kwani katiba tuliyonayo inaruhusu wizi na utoroshaji wa mali za umma?

we unatumia JF alafu haujui kama katiba iliyopo inakuumiza usingekua unadaiwa na nchi zingine tungekuwa na uchumi wa kujitegemea kama tukipata katiba mpya
 
Mnaitisha maandamano lakini siku ya maandamano watanganyika hamtoki ata mtu 1 mnawaacha Wazanzibari wanavunjwa miguu peke yao.,
 
Haimdhibiti Rais hata akifanya makosa hivyo wateule wa Rais wakiiba anao uwezo wa kuwalinda. Rais ana uwezo wa kumkata za DPP kuendelea na kesi.
Kwani hii iliyopo inamruhusu kufanya makosa?
 
Wao wamekazania tume huru,madaraka ya raisi na dual citizenship.Haya yanamsaidiaje mzee aliyeko Nkansi huko Rukwa
 
we unatumia JF alafu haujui kama katiba iliyopo inakuumiza usingekua unadaiwa na nchi zingine tungekuwa na uchumi wa kujitegemea kama tukipata katiba mpya
Katiba liyopo ndiyo inasema watu tuumizwe?
 
Sana tu. Kinga ipo mpka anakufa, na why tusubiri had amalizw muda wake kama vitu viko wazi?
Si ndiyo nchi zingine zinavyofanya? Hata Rais wa marekani ana uwezo wa kujifutia makosa akiwa madarakani lakini akirudi uraiani anadakwa tuu.
 
Si ndiyo nchi zingine zinavyofanya? Hata Rais wa marekani ana uwezo wa kujifutia makosa akiwa madarakani lakini akirudi uraiani anadakwa tuu.
Huku hata akitoka bdo kinga ipo imara zaidi ya alivyokuwa madarakani. 😁
 
Hebu tupe Kwanza Jinsi gani Katiba Itazuia Mtu Kuuiba ? Maana Sidhani kama Ya Sasa Inaruhusu ila Watu wanaiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…