Hii ngoma kama nakumbuka vizuri originally ni Mowlem, UK.Nani aliijenga/mkandarasi alikuwa nani?
Na kama mkandarasi wa nje je alitoka
Nchi gani?
Ova
Ilirudiwa na strabagKuna aliyejenga kipande cha isaka-lusahunga. Hongera zake yuko poa sana
Hii barabara pichani kwa jina MANDELA Road, ndio barabara yangu yenye ubora kabisa.
Kwanza, imedumu bila kubonyea bonyea, kuweka mabigijii kama ilivyo baadhi ya barabara zenye heavy traffic
Pili, imezingatia haki za watumiaji wote. Inayo sehemu ya mapitio ya dharura, waenda kwa miguu na magari pande mbili.
Ina mifereji mipana saafii inayopitisha maji vizuri.
My take:
Mkandarasi aliejenga hii apewe tena kazi ya barabara muhimu kv Moro Kibaha Express Lane nk. Heko alempa kazi na standards za kuzingatiwa.
Huu ni mfano bora.
UZI TAYARI
Hii ni barabara ya sam nujoma road ila barabara zote 2 pamoja na ya mandera road zilichokwa kwa msaada wa pesa ya watu wa ulaya( European union) kwa hiyo hiyo ujengaji umeendana na viwango vyao walivyojiwekea kwa kumpa tenda mkandarasi wanaomjua wao.
Ilirudiwa miaka ya 2010+ na JV ya spencon na wakandarasi wengine nimewashau jina.Hio barabara zamani ikiitwa Port Access Road ilijengwa na MOWLEM kampuni ya UK hio.
Naam.Hio barabara zamani ikiitwa Port Access Road ilijengwa na MOWLEM kampuni ya UK hio.
Ilijengwa/ilikarabatiwa tena kipindi Cha Jakaya Kikwere na makandarasi MALTAURO-SPENKON kuanzia mwaka 2008- 2011 toka bandarini mpaka Ubungo mataa. Ile ya Mowlem ilibomolewaHii ngoma kama nakumbuka vizuri originally ni Mowlem, UK.
Wameweka taa siku hizi?Ilijengwa/ilikarabatiwa tena kipindi Cha Jakaya Kikwere na makandarasi MALTAURO-SPENKON kuanzia mwaka 2008- 2011 toka bandarini mpaka Ubungo mataa. Ile ya Mowlem ilibomolewa
Waliweka taa tayari nyingi zimeshahariika hazifanyi kazi.Wameweka taa siku hizi?