Mandela Road: Barabara iliojengwa kwa viwango stahiki

Tuombe Mungu milele na milele wamachinga wasiivamie, maana hawa watu wana nguvu kwa wanasiasa balaa
 
Nikweli Mandela road iliyojengwa kwa Pesa za sijui ni mkopo au Msaada kutoka Japan ni barabara nzuri yenye ubora licha ya kupita malori yote ya mizigo kutoka bandarin lakini iko imara sana tatizo ni moja ya barabara yenye foleni kubwa sana hapa mjini NB hiyo picha ni Sam Nujoma Road
 
Mimi nilijua zimepinduana kwa sababu ya mapinduzi.
 
Sahv wanajenga barabara baada ya muda inakuwa kama Big G
Mabonde,mashimo

Ova
 
Enzi hizo Wachina walikuwa Bado wanajitafuta ,Wazungu ndio walikuwa wanajenga
 
Kosa ni moja kuacha mifereji wazi ni uzemba na kuto Jari usalama wa watumiaji. Kama inachwa wazi basi waweke fence kwa ya usalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…