Mandhari ya Barabara ya Yuqie katika mkoa wa Xinjiang wa China yavutia

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Mandhari ya Barabara ya Yuqie jangwani katika mkoa wa Xinjiang inavutia katika upigaji picha wa kutoka angani baada ya mvua.

Barabara hiyo inayounganisha wilaya ya Yuli na wilaya ya Qiemo inatarajiwa kufunguliwa rasmi hivi karibuni.



 
Nini cha ajabu hapo, mbona kawaida Sana
 
hujaziona kona za iyovu wewe
mkeka umenyooka
pale mkandarasi hakuwa na nyege wala mavi hayakumbana alikuwa anakunywa beer tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…