Mandhari ya Katesh mkoa wa Manyara

Mandhari ya Katesh mkoa wa Manyara

wiztech

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2020
Posts
259
Reaction score
511
Wadau nina wazo la kwenda kuanzisha maisha huko Katesh mkoa wa Manyara naombeni kujua.

  • Mandhari ya huko
  • Hali ya hewa
  • Biashara gani inaenda sana
  • Nini cha kuzingatia kama mgeni

Nitangulize shukrani wadau kama kuna lingine mnaweza kunisaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kuzingatia ukiwa mgeni ni kujicontrol linapokuja suala la totozi. Mkuu kuna totozi za hatari ( visu ) usipokuwa makini utapukutishwa hela yako yote uondoke na mambupu tu.
 
Back
Top Bottom