wiztech
JF-Expert Member
- Apr 20, 2020
- 259
- 511
Wadau nina wazo la kwenda kuanzisha maisha huko Katesh mkoa wa Manyara naombeni kujua.
Nitangulize shukrani wadau kama kuna lingine mnaweza kunisaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
- Mandhari ya huko
- Hali ya hewa
- Biashara gani inaenda sana
- Nini cha kuzingatia kama mgeni
Nitangulize shukrani wadau kama kuna lingine mnaweza kunisaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app