TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Nimeamka leo nawakumbuka tu hawa jamaa, i had mad love kwao. Walikuwa na vipaji vya pekee na hatari, kizuri zaidi waliwakilisha napotokea. Mara ya mwisho niliwasikia kwenye 'Nenda' waliyofanya na Squeezer. Wako wapi siku hizi? Nini kilitokea? Bado wako pamoja kwenye game ama niaje?
Funguka tafadhali, kama unajua chochote kuwahusu
Funguka tafadhali, kama unajua chochote kuwahusu