Man'dojo na Domokaya

Man'dojo na Domokaya

TUPACified

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,367
Reaction score
604
Nimeamka leo nawakumbuka tu hawa jamaa, i had mad love kwao. Walikuwa na vipaji vya pekee na hatari, kizuri zaidi waliwakilisha napotokea. Mara ya mwisho niliwasikia kwenye 'Nenda' waliyofanya na Squeezer. Wako wapi siku hizi? Nini kilitokea? Bado wako pamoja kwenye game ama niaje?

Funguka tafadhali, kama unajua chochote kuwahusu
 
Kwa hiyo TUPACified wewe ni kaka yangu from Arachuga?
Kiukweli hata mimi nilitokea kuwakubali sana hawa jamaa.Wana kipaji na walikua wanaimba kwa hisia sana.
Sitaki kukumbuka walivyoua kwenye ile ngoma yao ya Dingi! Acha kabisa!
 
Last edited by a moderator:

Yup yup, Arachuga ndio home, sijawahi kujua napapenda niaje hadí nilipotoka.

Dingi, nikupe, wanok-nok, walifunika hatari. Album yao ya kwanza, pia ndio ilikuwa ya kwanza katika albums 3 za Bongo nilizowahi kununua mpaka leo.

Wakogo wapi siku hizi?
 
Pia kuna wimbo walimshirikisha Maunda Zorro mzuri sana unaitwa masimango.

Nasikia wamekua wateja siku hizi!
 
Yup yup, Arachuga ndio home, sijawahi kujua napapenda niaje hadí nilipotoka.

Dingi, nikupe, wanok-nok, walifunika hatari. Album yao ya kwanza, pia ndio ilikuwa ya kwanza katika albums 3 za Bongo nilizowahi kununua mpaka leo.

Wakogo wapi siku hizi?

wanok nok mpk leo nasikiza
 
Pia kuna wimbo walimshirikisha Maunda Zorro mzuri sana nimeusahau jina lake kidogo ila wanaongelea mambo ya ugomvi wa home unatakiwa uishie home sio kuupeleka hadi kazini.

Nasikia wamekua wateja siku hizi!

Unaitwa masimango nifah heri nyumbani kwa sasa nafanya kazii bosi atanifokea ikidorora kazii🎤
 
Last edited by a moderator:
Wapo hapa hapa kwa Nyerere utawaskia tu hawa wakali wa Hip hop Banjo

Album yao na ya Mangwea ndio nmewah nunua ktk historia yangu.

Nymbo moja tu ndio huwa naona imepoa inaitwa "selo"
 
Dah! Noma sana. Washkaji, Stopa na Faza ndio niliokuwa najivunia popote, siku yoyote. Kama ni kweli wamekuwa mateja, basi nimevunjika moyo kinoma.
 
Time cannot let them be the way were used to be, there is a fierce battle if you loose the track it is easy to be forgotten
Damn shame huh, but i'm their ride to die fan, any-day all-day, i promise.
 
Wapo hapa hapa kwa Nyerere utawaskia tu hawa wakali wa Hip hop Banjo

Album yao na ya Mangwea ndio nmewah nunua ktk historia yangu.

Nymbo moja tu ndio huwa naona imepoa inaitwa "selo"
Pia hizo albums 2 + mapinduzi halisi ya Jay ndio nimewahi kuzimiliki. Sijui inakuaje tunapoteza vipaji vya maana ila wazushi wanatoboa.
 
Unaitwa masimango nifah heri nyumbani kwa sasa nafanya kazii bosi atanifokea ikidorora kazii🎤

Ahsante sana Mlandege! Hata mimi nilikua na wasiwasi kidogo. ..
Naupenda sana huu wimbo.
Kama ungeweza kuniwekea hapa niudownload ningefurahi sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo TUPACified wewe ni kaka yangu from Arachuga?
Kiukweli hata mimi nilitokea kuwakubali sana hawa jamaa.Wana kipaji na walikua wanaimba kwa hisia sana.
Sitaki kukumbuka walivyoua kwenye ile ngoma yao ya Dingi! Acha kabisa!

Aisee...kumbe nawewe nifah ni wa home Arachnuga...mmenikumbusha hao wakali wa kuchana na kupiga gitaa mpaka imenibidi nisikilize pini zao za ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Dah! Noma sana. Washkaji, Stopa na Faza ndio niliokuwa najivunia popote, siku yoyote. Kama ni kweli wamekuwa mateja, basi nimevunjika moyo kinoma.

Huyo stopa si ndio yule wa mtu tatu ndani ya track moja?
Chapombe wa kutupwa!
 
Dah! Noma sana. Washkaji, Stopa na Faza ndio niliokuwa najivunia popote, siku yoyote. Kama ni kweli wamekuwa mateja, basi nimevunjika moyo kinoma.

Umbwa lotuno,stopa rhymes,JCB Makala,Yusso msela et.al......achaga kabisa.
 
Aisee...kumbe nawewe nifah ni wa home Arachnuga...mmenikumbusha hao wakali wa kuchana na kupiga gitaa mpaka imenibidi nisikilize pini zao za ukweli.

Eeh bwana.Arachuga ndio home sweet home aisee.
Hawa jamaa walikua noma sana.
 
Last edited by a moderator:
Yup yup, Arachuga ndio home, sijawahi kujua napapenda niaje hadí nilipotoka.

Dingi, nikupe, wanok-nok, walifunika hatari. Album yao ya kwanza, pia ndio ilikuwa ya kwanza katika albums 3 za Bongo nilizowahi kununua mpaka leo.

Wakogo wapi siku hizi?

Plama ni kwikwi!! Imewamaliza kabisa kuna single FA amewashirikisha Ila ile duet Yao ilkuwa ni hatar sa hivi tunapozwa na jambo squad watoto wa bibi ingawa na wao utoto mwingi
 
Umbwa lotuno,stopa rhymes,JCB Makala,Yusso msela et.al......achaga kabisa.
Umbwa si alisepaga States ama? JCB pia niliskiaga atatembea. Yusso huyo bado simsomi. KCK niliiskia 'bigidi-boost' hapo january, mpaka leo naiskiliza daily. Kuna machalii walikuwa wanajiita FBG, nao kimya.
 
Back
Top Bottom