TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Yup yup, Arachuga ndio home, sijawahi kujua napapenda niaje hadí nilipotoka.Kwa hiyo TUPACified wewe ni kaka yangu from Arachuga?
Kiukweli hata mimi nilitokea kuwakubali sana hawa jamaa.Wana kipaji na walikua wanaimba kwa hisia sana.
Sitaki kukumbuka walivyoua kwenye ile ngoma yao ya Dingi! Acha kabisa!
Yup yup, Arachuga ndio home, sijawahi kujua napapenda niaje hadí nilipotoka.
Dingi, nikupe, wanok-nok, walifunika hatari. Album yao ya kwanza, pia ndio ilikuwa ya kwanza katika albums 3 za Bongo nilizowahi kununua mpaka leo.
Wakogo wapi siku hizi?

Pia kuna wimbo walimshirikisha Maunda Zorro mzuri sana nimeusahau jina lake kidogo ila wanaongelea mambo ya ugomvi wa home unatakiwa uishie home sio kuupeleka hadi kazini.
Nasikia wamekua wateja siku hizi!
Dah! Noma sana. Washkaji, Stopa na Faza ndio niliokuwa najivunia popote, siku yoyote. Kama ni kweli wamekuwa mateja, basi nimevunjika moyo kinoma.Pia kuna wimbo walimshirikisha Maunda Zorro mzuri sana nimeusahau jina lake kidogo ila wanaongelea mambo ya ugomvi wa home unatakiwa uishie home sio kuupeleka hadi kazini.
Nasikia wamekua wateja siku hizi!
Bonge ya ngoma ilikuwa.wanok nok mpk leo nasikiza
Damn shame huh, but i'm their ride to die fan, any-day all-day, i promise.Time cannot let them be the way were used to be, there is a fierce battle if you loose the track it is easy to be forgotten
Pia hizo albums 2 + mapinduzi halisi ya Jay ndio nimewahi kuzimiliki. Sijui inakuaje tunapoteza vipaji vya maana ila wazushi wanatoboa.Wapo hapa hapa kwa Nyerere utawaskia tu hawa wakali wa Hip hop Banjo
Album yao na ya Mangwea ndio nmewah nunua ktk historia yangu.
Nymbo moja tu ndio huwa naona imepoa inaitwa "selo"
Kwa hiyo TUPACified wewe ni kaka yangu from Arachuga?
Kiukweli hata mimi nilitokea kuwakubali sana hawa jamaa.Wana kipaji na walikua wanaimba kwa hisia sana.
Sitaki kukumbuka walivyoua kwenye ile ngoma yao ya Dingi! Acha kabisa!
Dah! Noma sana. Washkaji, Stopa na Faza ndio niliokuwa najivunia popote, siku yoyote. Kama ni kweli wamekuwa mateja, basi nimevunjika moyo kinoma.
Dah! Noma sana. Washkaji, Stopa na Faza ndio niliokuwa najivunia popote, siku yoyote. Kama ni kweli wamekuwa mateja, basi nimevunjika moyo kinoma.
Aisee...kumbe nawewe nifah ni wa home Arachnuga...mmenikumbusha hao wakali wa kuchana na kupiga gitaa mpaka imenibidi nisikilize pini zao za ukweli.
Yup yup, Arachuga ndio home, sijawahi kujua napapenda niaje hadí nilipotoka.
Dingi, nikupe, wanok-nok, walifunika hatari. Album yao ya kwanza, pia ndio ilikuwa ya kwanza katika albums 3 za Bongo nilizowahi kununua mpaka leo.
Wakogo wapi siku hizi?
Stopa nae anazingua? Kweli noma.Huyo stopa si ndio yule wa mtu tatu ndani ya track moja?
Chapombe wa kutupwa!
Umbwa si alisepaga States ama? JCB pia niliskiaga atatembea. Yusso huyo bado simsomi. KCK niliiskia 'bigidi-boost' hapo january, mpaka leo naiskiliza daily. Kuna machalii walikuwa wanajiita FBG, nao kimya.Umbwa lotuno,stopa rhymes,JCB Makala,Yusso msela et.al......achaga kabisa.