Mandonga aibukia Kenya na ngumi mpya aina ya Sungunyo kutoka Ukraine

Mandonga aibukia Kenya na ngumi mpya aina ya Sungunyo kutoka Ukraine

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Mwamba mwenyewe, Karimu Mandonga, mtu kazi a.k.a Sungunyo kaibuka kivingine huko Nairobi Kenya na aina ya ngumi kali sana itakayomvagaa mtu tarehe 14.01.2023.

Kazi ya hatari inaenda kufanywa na Mandonga kaingia msitu wa Mau Mau na ngumi Sungunyo, awe Mkenya awe Mjaluo atakutana na kipigo cha ngumi Sungunyo hivi sasa yuko ndani ya msitu wa Mau Mau anajifua tayari kwa pambano kali Kwa miondoko ya ngumi mpya ya Sungunyo kutoka Ukraine.

Tumuombee Dua ya heri mwamba kwenye mediani amevuka border la wkanda wetu.

Mandonga urusi na pesa za kutosha na endorsement kama zote.

Ni hayo tu kwa uchache.

Wadiz nikiwa msitu wa Mau Mau, Kenya
 
Kwa vile kwenye mpira sisi ni kichwa cha mwendawazimu, basi acha nihamishie akili yangu kwenye mchezo wa ngumi. Nina uhakika jabali mandonga hatotuangusha.

#Mandonga ngumi fuko la siment
#Mandonga halazi kiporo
#Mandonga Tanzania one
#Mandonga for life 👊
 
Ulimwengu wa social media huu.. usipokuwa na aibu unapiga hela sana tu.

Content ndio habari ya mjini

Mwijaku na baba levo wanatengeneza pesa kwa upuuzi tu

Mandonga mtu kazi nae mdogo mdogo anapiga hela tu
Bora Mandonga mdomo unaenda na matendo. Baba levo na Mwijaku ni kubwabwaja tu bila matendo na bado watu wanawapa uwanja wa kupiga hela za kulia bata viwanja.
 
Bora Mandonga mdomo unaenda na matendo. Baba levo na Mwijaku ni kubwabwaja tu bila matendo na bado watu wanawapa uwanja wa kupiga hela za kulia bata viwanja.

Sio kazi ndogo wanayoifanya mwijaku na baba levo.

Mwijaku ni muigizaji proffessional , amesomea degree ya maigizo udsm na pia kabla ya utangazaji clouds aliajiriwa kama muigizaji.

Ameigiza sana akiwa THT

Anajua content ni nini?

Na hata clouds hajaajiriwa kama journalist, mwijaku ameajiriwa kama Media Artist
 
🇹🇿Atumie nafasi hiyo vizuri kuji brand huko Kenya🇰🇪

🇹🇿 Wasanii wengi wa Tanzania wametajirika kwa supporter ya wa Kenya kupenda vitu wavifanyavyo .

🇰🇪Wakenya wengi wanafuatilia Sana na wanapenda Sanaa na vituko vya Tanzania na hii inasababisha na kuifahamu kuongea vizuri lugha ya kiswahili, Sasa inakuwa rahisi kuzitumia kama Sanaa,Kenya wao wamechanganya kiasi Fulani Kiingereza na kiasi Fulani lugha zao za asili hivyo wanakosa ule mkong'osio wa Lugha.

🇹🇿 Msanii anaweza kuwa amefulia kabisa huku Tanzania au mnamwona wa kawaida kabisa lakini kule Kenya akienda anapokelewa kama mfalme, mfano akina Mr. Nice, Roze Mhando, Amorapa nk.

Hata nyimbo zilizokwisha kupitwa na wakati huku Tanzania kule ndio kwanzaaa Zina hiti kwenye top 10. Hata nyimbo za dini kama gospel na za kikatoliki zilizovuma zamani bongo kwao ndio asubuhi.

Mandonga Mtu kazi, Atumie vizuri kipaji chake Cha kuongea kupiga mkwara mbuzi wapinzani wake, akijipanga vizuri Wakenya wanapenda Sana maneno ni burudani kwao na nadhani hata kumwalila wamefuatilia Tambo zake.

Akijipanga vyema atakuwa anapaya mikataba mingi Sana Kenya ya promotion na madoko. Kila la heri Mandonga mtu kazi, ndoige usiyechagua pa kuupigania au mpinzani wako
 
Sio kazi ndogo wanayoifanya mwijaku na baba levo.

Mwijaku ni muigizaji proffessional , amesomea degree ya maigizo udsm na pia kabla ya utangazaji clouds aliajiriwa kama muigizaji...
Ya mjini mipango, Mwijaku alijiandalia maisha ya baadae kupitia kazi ya uchekeshaji na kwa bahati nzuri ndo inaanza kumuonesha mafanikio 😂😂
 
Ulimwengu wa social media huu.. usipokuwa na aibu unapiga hela sana tu.

Content ndio habari ya mjini

Mwijaku na baba levo wanatengeneza pesa kwa upuuzi tu

Mandonga mtu kazi nae mdogo mdogo anapiga hela tu
Sana mkuu, kama huna nishai mbona unapiga hela
 
Ila jaman huyu jamaa apumzike basi anafanya ngumi km mpira kweli aweke gape kidogo
Hakuna mtu ameona.. mapambano ya elf kumi kumi watu wanamsifia anapata hela...

Haoni wenzake wapo na illness za stroke muda mref.
TMT wenyewe pambano ni moja kwa mwaka
 
Back
Top Bottom