Mandonga aibukia Kenya na ngumi mpya aina ya Sungunyo kutoka Ukraine

Sana mkuu, kama huna nishai mbona unapiga hela
Lakini pia uwe na mtu wa kukushika mkono mkuu, sio kukurupuka tu mwishowe uje kuwa kama kina pembe wanafanya kazi kubwa ya uchekeshaji lakini wanaishi maisha ya kawaida sana.
 
Video iko wapi
 
asije akafia ulingoni!!
 
Lakini pia uwe na mtu wa kukushika mkono mkuu, sio kukurupuka tu mwishowe uje kuwa kama kina pembe wanafanya kazi kubwa ya uchekeshaji lakini wanaishi maisha ya kawaida sana.

Wakina pembe wanaigiza bila mipango.

Lazima ujue kutengeneza content. Sio unaigiza igiza tu kizamani

Kuna madogo kibao wanapiga hela kuliko kina pembe. Na hawana majina makubwa... sababu wanajua kutengeneza content

Steve mweusi, chesco, dullyvan, na wengine kibao
 
Ya ulichoongea kina ukweli, ukiwa mjanja unatoboa fasta na kuwaacha wakongwe wanashangaa.
 
Namkubali Sana mandonga ,watu hawalali had mandonga apande kwa stage

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…