Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Ameshaanza kutumiwa na wana siasa,hii imeendaaaaaaBondia wa Ngumi nchini Karim Mandonga ametamba kuonyesha Ngumi ya SGR katika Pambano la Ngumi ya Tanga litakalofanyika Novemba 16 likiwa ni kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu.
Mandonga aliyoa tambo hizo wakati wa mkutano na waandishi wa Habari kuelekea pambano hilo ambalo ni moja ya mapambano ambayo yameandaliwa na Kampuni ya Ngumi za Kulipwa ya Mafia Boxing Promotion yatakayofanyika kwenye viwanja vya CCM Mkwakwani Mjini Tanga ambapo Alisema kwamba unapigwa ngumi Tanga unakwenda kuzindukia Dar.
Mwanzo wa mwishoBondia wa Ngumi nchini Karim Mandonga ametamba kuonyesha Ngumi ya SGR katika Pambano la Ngumi ya Tanga litakalofanyika Novemba 16 likiwa ni kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu.
Mandonga aliyoa tambo hizo wakati wa mkutano na waandishi wa Habari kuelekea pambano hilo ambalo ni moja ya mapambano ambayo yameandaliwa na Kampuni ya Ngumi za Kulipwa ya Mafia Boxing Promotion yatakayofanyika kwenye viwanja vya CCM Mkwakwani Mjini Tanga ambapo Alisema kwamba unapigwa ngumi Tanga unakwenda kuzindukia Dar.
Wabongo tunaombeana sana njaa.Hana jipya tena tulikuwa excited mwanzoni but 4now hana jipya maneno yale yale,tambo zile zile, kama hawajawekeza hivo visenti alivyovipata muda si mrefu atarudi kupiga debe kama mwanzo.