Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Bondia wa Ngumi nchini Karim Mandonga ametamba kuonyesha Ngumi ya SGR katika Pambano la Ngumi ya Tanga litakalofanyika Novemba 16 likiwa ni kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu.
Mandonga aliyoa tambo hizo wakati wa mkutano na waandishi wa Habari kuelekea pambano hilo ambalo ni moja ya mapambano ambayo yameandaliwa na Kampuni ya Ngumi za Kulipwa ya Mafia Boxing Promotion yatakayofanyika kwenye viwanja vya CCM Mkwakwani Mjini Tanga ambapo Alisema kwamba unapigwa ngumi Tanga unakwenda kuzindukia Dar.