Mandonga ametua Kenya, huyu jamaa huchekesha sana

Mandonga ametua Kenya, huyu jamaa huchekesha sana

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jamaa amepata mashabiki Kenya kimzaha mzaha, tambo zake yaani, huwa namfatilia sana.

Mandonga mtu kazi tuko nawe kwenye hili, uzalendo pembeni, ukipigwa ni kama umepiga.

================

Amekuja na ngumi inaitwa Sugunyo ambayo imetoka Ukraine kwa mlipuko wa mabomu.

😅


Tanzanian boxer Kareem Mandonga aka Mtu Kazi has left many boxing fans in stitches after landing in Nairobi for the much-anticipated fight against Kenya's Daniel Wanyonyi.

In his press briefing, Mandonga promised to give Wanyonyi a beating of his life in his home ground.

"Huyu ngumi ya Sugunyo inamhusu tu. Atake tutampiga, asitake tutampiga tu," Mandonga said.

The fight is set for tomorrow, Saturday at KICC.

Photo: Kareem Mandonga (Facebook)

 
Wanyonyi naye asikuchukulie serious jamaa ana promote tu stamina yenyewe hana huo muda wa kufanya mazoezi kapata wapi na yeye kutwa anatangaza biashara za watu, wachekeshe watu wafurahi aije kurusha fataki tukapoteza mtu kimasihara maana Mandonga akiguswa ndungu limeshatokea.
 
Sunguyo ikikupata bega linaoza likikupata tumboni kama hujavaa pampasi unachafua hali ya hewa… ila atachakazwa tu! Utani mwingi ila anapata kula yake
Kabisa yaan
 
Ha ha ha!! Hongera sana mtu kazi, dadeki, nasubiri apewe mic aongee baada ya kushinda...hapatakalika....tambo kama zote, ngumi ya Sugunyo
Namuunga mkono. Mtafutaji wa watu kapata upenyo haha
 
Mandonga mtu kazi, mzee wa ngumi sungunyo.
Ikukupata begani unapalalaizi ikikupata tumboni kama huna pampas unahatibu hali ya hewa
 
Back
Top Bottom