Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 10,494
- 9,854
Boxing ilikua haina mvutio Kenya, vile media zilionyesha vioja vya Mandonga jamaa ali trend kwa mitandao za kijamii, kilichofuata ukumbi wa KICC ulijaa kabisa.., sikujua eti pigano lake na Wanyonyi ilikua tu ya kufungua uwanja kabla ya main bout, watu walivutiwa zaidi kwa ajili yake, the guy is a good marketer, alitengenezea waandalizi wa mechi zile hela mingi kwa kuvutia mashabiki, hope alipewa hela ndefu kama shukrani, sasa anapendwa pia na wakenya, amepata ma fans.