Mandonga anaongelea kumpiga mpinzani wake ngumi za tumboni?

Karim Mandonga pamoja na kujizolea umaarufu katika mchezo wa ngumi, lakini wadau mbalimbali wanaona hautendei haki au kuupa heshima mchezo huo.

Jana nilikuwa naangalia clip moja akiwa Kenya katika maandalizi ya pambamo lake. Wakati anazungumza na waandishi, akasema mpinzani wake akipata ngumi yake ya tumbo asipokuwa na Pampers, basi atachafua hali ya hewa. Nikajiuliza huyu jamaa hata sheria za ngumi anazijua kweli?

Mandonga amesaidia kwa kiasi chake kuchangamsha game na sipo hapa kumzibia rizki yake, ila si mbaya kama tukianzisha sub-category ya mchezo wa ngumi inayoendana na style yake inayofanana kwa kiasi kikubwa na mieleka. Ngumi za kweli watu wanaenda kuona mtu anatwangwa siyo kumcheka bondia.

Tuwatendee haki mabondia wa kweli.
Ngumi ya chini ya mkanda ndiyo ambayo hairuhusiwi, siyo ngumi ya Tumbo

Haya waombe mods waufute huu uzi wako.
 
Mabondia wengi wa kiafrika hawajui kuwa tambo (Trash talking) na brawling (kusukumana) wakati mnatizamana macho kwa macho baada ya kupima uzito ni moja ya sehemu ya mchezo wa boxing na ndio kipengele kinachovutia wengi watazame pambano lako.

Ukimtazama mandonga hakuna bondia hapa Afrika mashariki na kati anayemfikia ktk hiyo aspects and he deserves to be paid huge some kuliko hao mabondia wazuri. Ndio maana ktk kampuni watu wa sales n marketing hulipwa pesa nyingi kuliko hata wataalamu wengine...why kwasababu matketing ndio huvuta pesa nyingi kuingia ktk kampuni.

Watu wengi watakwenda kumtizama mandonga ili kuona ukweli wa trash talks zake na hata akipigwa bado atajizolea idafi kubwa ya mashabiki...kwa ulaya namfananisha na UFC fighter Connor Mcgregor...!! Alilipwa pesa nyingi pambano lake dhidi ya Mayweather sio kwamba ni mjuzi sana wa ndondi ila kutokana na uwezo wake wa kuongea kuvuta watu wengi kutazama mapambano yake. Mwisho wa siku inakuwa ni win-win situation kati ya mabondia na waandaaji wa pambano.
 
Wenzetu ulaya waandaaji huwa wanajua kuyapromote mapambano...utakuta mabondia wanakutanisha ktk live interview then kila mmoja anamtambia mwenzie ,sometimes inafikia hadi wanataka kuzichapa live kisha wanazuiwa ili kuvuta watu wakatizame mpambano ila kwetu hakuna haya.
 
Mabondia wengi wa kiafrika hawajui kuwa tambo (Trash talking) na brawling (kusukumana) wakati mnatizamana macho kwa macho baada ya kupima uzito ni moja ya sehemu ya mchezo wa boxing na ndio kipengele kinachovutia wengi watazame pambano lako.

Ukimtazama mandonga hakuna bondia hapa Afrika mashariki na kati anayemfikia ktk hiyo aspects and he deserves to be paid huge some kuliko hao mabondia wazuri. Ndio maana ktk kampuni watu wa sales n marketing hulipwa pesa nyingi kuliko hata wataalamu wengine...why kwasababu matketing ndio huvuta pesa nyingi kuingia ktk kampuni.

Watu wengi watakwenda kumtizama mandonga ili kuona ukweli wa trash talks zake na hata akipigwa bado atajizolea idafi kubwa ya mashabiki...kwa ulaya namfananisha na UFC fighter Connor Mcgregor...!! Alilipwa pesa nyingi pambano lake dhidi ya Mayweather sio kwamba ni mjuzi sana wa ndondi ila kutokana na uwezo wake wa kuongea kuvuta watu wengi kutazama mapambano yake. Mwisho wa siku inakuwa ni win-win situation kati ya mabondia na waandaaji wa pambano.
Money alilipwa zaidi ya mara tatu ya Mcgregor. Ulichosema kinashuhudia point yangu iko sahihi. Hata kama mwingine ana mdomo zaidi, mwenye rekodi nzuri na yule anayepewa odds nyingi zaidi za kushinda lazima apewe heshima yake.
 
Yes bondia mkubwa huwa anachukua mpunga mrefu apigwe au ashinde ni kutokana na kusaini mikataba kabla ya pambano....ila mcgregor alipata pesa ndefu tu 30M USD kabla ya pambano na 100MUSD baada ya pambano wakati floyd alipata 275M USD na pambano lao ni miongoni mwa mapambano yaliyoongoza kwa PPV mwaka ule.
 
Karim Mandonga pamoja na kujizolea umaarufu katika mchezo wa ngumi, lakini wadau mbalimbali wanaona hautendei haki au kuupa heshima mchezo huo.

Jana nilikuwa naangalia clip moja akiwa Kenya katika maandalizi ya pambamo lake. Wakati anazungumza na waandishi, akasema mpinzani wake akipata ngumi yake ya tumbo asipokuwa na Pampers, basi atachafua hali ya hewa. Nikajiuliza huyu jamaa hata sheria za ngumi anazijua kweli?

Mandonga amesaidia kwa kiasi chake kuchangamsha game na sipo hapa kumzibia rizki yake, ila si mbaya kama tukianzisha sub-category ya mchezo wa ngumi inayoendana na style yake inayofanana kwa kiasi kikubwa na mieleka. Ngumi za kweli watu wanaenda kuona mtu anatwangwa siyo kumcheka bondia.

Tuwatendee haki mabondia wa kweli.
We jamaa ushawai kuangalia at pambano Moja LA ngumi. Ulichoandika ni upuuzi mtupu. Nani kakwambia ngumi za tumbo haziruhusiwi
 
Ehe hilo pambano wanagombea mkanda gani

Ova
 
Back
Top Bottom