Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hatari kweli kweliNgumi za kichwa hazijawahi muacha MTU Salama, muangalia Tyson, Mohammed Ali hata Rashid Matumla pia ukimwangalia vizur kama ubongo umetikiswa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari kweli kweliNgumi za kichwa hazijawahi muacha MTU Salama, muangalia Tyson, Mohammed Ali hata Rashid Matumla pia ukimwangalia vizur kama ubongo umetikiswa.
Anacheza na nyota. Atasahaulika karibuni sasa inabidi atumie umaarufu wake kwa ipasavyo kabla haujaisha.Nadhani by Dec 2022 atakuwa amefutika katika ramani kama Dr ShikaHuwezi kupigana mapambano matatu ndani ya mwezi mmoja hata kama ni ya kirafiki ngumi sio kama soka au riadha.. jamaa anatafuta umaarufu sana kuna siku itaokotwa maiti ulingoni
Au Mzee Mpili na LiquidAnacheza na nyota. Atasahaulika karibuni sasa inabidi atumie umaarufu wake kwa ipasavyo kabla haujaisha.Nadhani by Dec 2022 atakuwa amefutika katika ramani kama Dr Shika
Nadhani anachokitafuta atakipataNafikiri sasa ni muda muafaka cha chama kinachosimamia mchezo wa ngumi kumzuia Mandonga kupanda ulingoni.
Kwanza huyu jamaa anahatarisha usalama wake, ngumi sio mchezo wa kupanda panda ulingoni kila mwezi.
Pili anaudhalilisha huu mchezo, inaonekana ni kama anafanya comedy.
Tunajua anatafuta ugali wa familia, lakini miiko ya mchezo husika lazima izingatiwe.