Mandonga ashinda kwa TKO Morogoro, leo Novemba 25, 2022

Mandonga ashinda kwa TKO Morogoro, leo Novemba 25, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
FiboebRXwAEmHL2.jpg
Bondia Karim Mandonga ameshinda pambano dhidi ya Said Mbelwa kwa TKO katika raundi ya 6 kwenye pambano lisilo la ubingwa Uzito wa Kati, leo Novemba 25, 2022.

Akizungumza baada ya pambano hilo lililofanyika Mkoani Morogoro, Mandonga amesema “Sikubahatisha, nimempiga ulingoni na kama hakubali hata nikikutana mtaani nitampiga tena, Ndoige ni ngumi inayokata kona.”
 
Hatimaye kuna mtu kakutana na ndoige
 
Back
Top Bottom