Mandonga ashinda kwa TKO Morogoro, leo Novemba 25, 2022

Mandonga ashinda kwa TKO Morogoro, leo Novemba 25, 2022

Mandonga mtu kazi OYEEEEE....💪💪💪💪💪💪
Ameleta mwamko kwenye boxing...safi sana.....
 
View attachment 2427503Bondia Karim Mandonga ameshinda pambano dhidi ya Said Mbelwa kwa TKO katika raundi ya 6 kwenye pambano lisilo la ubingwa Uzito wa Kati, leo Novemba 25, 2022.

Akizungumza baada ya pambano hilo lililofanyika Mkoani Morogoro, Mandonga amesema “Sikubahatisha, nimempiga ulingoni na kama hakubali hata nikikutana mtaani nitampiga tena, Ndoige ni ngumi inayokata kona.”
Hongera Sana
 
Kikubwa atoke anatembea tu na mdomo haujaparalayse he'll bounce back na ngenga zaidi
 
Back
Top Bottom