JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Yeah yaan jamaa anazidi kua mzuri. Kama masihara utashangaa analetwa Mzungu kupigana nae au yeye anaenda nje.Alicheza vizuri sana jana
Alistahili ushindiWamempa ushindi ajisikie faraja japo kidogo
Nna hisi atakua kapata kocha mzurNiliangalia mpambano. Mandonga ana improve kila kukicha.
Jamaa anatusua life soon. Safi sana.Nna hisi atakua kapata kocha mzur
Jana kaonyesha performance ya Hali ya juu mno