Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Akipigwa kila siku pia itazoeleka watu watampotezea watajua huyu hana jipya tena zaidi ya kupigwa na umaarufu wake utaishaUshindi wake ndio njia yake ya umaarufu kuisha, trust me guys.
Uzi bila pichaaaa
Kwa macho tu inaonekana huyo dogo ni underweight na hajakaza kabisa.😂😂😂Karim Mandonga leo katika pambano la kuhamasisha Sensa , lililopigwa kwenye viwanja vya Leaders Club amepiga mtu 1st roound na kumaliza ubishi .
🤣 🤣 🤣 🤣 kazi kweli kweliPambano la mchongo na ushindi wa mchongo.
View attachment 2330907
Huyu jamaa ni muharibifu tu na atapotea haraka sanaUshindi wake ndio njia yake ya umaarufu kuisha, trust me guys.
Akipigwa kila siku pia itazoeleka watu watampotezea watajua huyu hana jipya tena zaidi ya kupigwa na umaarufu wake utaisha
Ule upepo wa umaarufu unakaribia kuisha, sasa kama hakuweka mambo yake vizuri wakati wa umaarufu wake bc ndo kwa heri hvyHuyu jamaa ni muharibifu tu na atapotea haraka sana
Atabadili gia angani tushangae..!! Kama aliweza kuitumia fursa ya kuchapwa kwenye kujipatia umaarufu, hashindwi kupindua meza kibabe huyo..!!Ushindi wake ndio njia yake ya umaarufu kuisha, trust me guys.
Stress zitakuua wewe, Kwahy watu waache kufurahi kisa kuna wengine wanaingiza pesa.? Mfano, mm nisilipie king'amuzi ili nipate furaha kisa wamiliki wanapata utajiri.?komaeni tu na mtu kazi wenzenu wanatengeneza pesa , ni kama miaka ile evander na tyson tu watu wanacheza na akili zenu tu huku wanaishi mjini
Uzuri wa umaarufu wa ghafla hasa wa hapa Tz haujawahi kuwa na second chance.ATabadili gia angani tushangae..!! Kama aliweza kuitumia fursa ya kuchapwa kwenye kujipatia umaarufu, hashindwi kupindua meza kibabe huyo..!!
uko nje ya mada kiazi wewwe , mimi na wewe nani mwenye stress ya tozo?Stress zitakuua wewe, Kwahy watu waache kufurahi kisa kuna wengine wanaingiza pesa.? Mfano, mm nisilipie king'amuzi ili nipate furaha kisa wamiliki wanapata utajiri.?
Halafu wakafeli pia katika igizo lao!!!!Hawa waliondaa huu mchezo ni lazima wakamwatwe na kushtakiwa kosa kubwa katika mchezo kupanga ni kosa la jinai ila kama lilikuwa pampano la kuchangisha kitu au kuhamasisha kitu fulani au tangazo la biashara nitaelewa ila kama wako serious basi walioandaa wakamatwe haraka na chama cha ngumi kichukue hatua kali wana najisi mchezo wa ngumi. Hii ni staged kabisa imepangwa
Wapi nimezungumzia tozo.? Au stress zinakufanya uwalishe watu manenouko nje ya mada kiazi wewwe , mimi na wewe nani mwenye stress ya tozo?