Mandonga mtu kazi apiga mtu round ya kwanza

Hawa waliondaa huu mchezo ni lazima wakamwatwe na kushtakiwa kosa kubwa katika mchezo kupanga ni kosa la jinai ila kama lilikuwa pampano la kuchangisha kitu au kuhamasisha kitu fulani au tangazo la biashara nitaelewa ila kama wako serious basi walioandaa wakamatwe haraka na chama cha ngumi kichukue hatua kali wana najisi mchezo wa ngumi. Hii ni staged kabisa imepangwa
 
Akipigwa kila siku pia itazoeleka watu watampotezea watajua huyu hana jipya tena zaidi ya kupigwa na umaarufu wake utaisha
Huyu jamaa ni muharibifu tu na atapotea haraka sana
Ule upepo wa umaarufu unakaribia kuisha, sasa kama hakuweka mambo yake vizuri wakati wa umaarufu wake bc ndo kwa heri hvy
 
komaeni tu na mtu kazi wenzenu wanatengeneza pesa , ni kama miaka ile evander na tyson tu watu wanacheza na akili zenu tu huku wanaishi mjini
 
Stress zitakuua wewe, Kwahy watu waache kufurahi kisa kuna wengine wanaingiza pesa.? Mfano, mm nisilipie king'amuzi ili nipate furaha kisa wamiliki wanapata utajiri.?
 
uko nje ya mada kiazi wewwe , mimi na wewe nani mwenye stress ya tozo?
 
Hawa waliondaa huu mchezo ni lazima wakamwatwe na kushtakiwa kosa kubwa katika mchezo kupanga ni kosa la jinai ila kama lilikuwa pampano la kuchangisha kitu au kuhamasisha kitu fulani au tangazo la biashara nitaelewa ila kama wako serious basi walioandaa wakamatwe haraka na chama cha ngumi kichukue hatua kali wana najisi mchezo wa ngumi. Hii ni staged kabisa imepangwa
Halafu wakafeli pia katika igizo lao!!!!
 
Back
Top Bottom