Mandonga Mtukazi anakuja na ngumi aina ya "Mandoige"

Mkumbusheni ULINGO NI SAWA NA GHETO LA POPO BAWA aendelee kwenda kinyumenyume tu
 
Anapigana mara mbili kwa mwezi, hata ngumi za ridhaa sidhani kama wanapigana mara nyingi hivyo.
 
Mandonga amekuwa mjanja sana ...sasa anaokota walevi na wapiga debe ndo anataka kupigana nao kashajua game inataka nn!!!
 
big up mandonga
nakubali sana mtu kazi
niite mo11 kutoka mbagala majimatitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…