Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaHata yanga nao walitamba hivyo hivyo
Mandonga siyo bondia bali ni comedian anayetumia mchezo wa ndondi kuchekesha.Anapigana mara mbili kwa mwezi, hata ngumi za ridhaa sidhani kama wanapigana mara nyingi hivyo.
Wewe una jipya ganiNaona hana jipya kwa sasa,
Akikujibu nitag pliizWewe una jipya gani
Labda wewe jana tumepiga mtu kwa ngumi ya sugunyoSasa watanZania tumeanza kumchoka hana jipya