Mandonga Mtukazi anakuja na ngumi aina ya "Mandoige"

Mandonga Mtukazi anakuja na ngumi aina ya "Mandoige"

Anapigana mara mbili kwa mwezi, hata ngumi za ridhaa sidhani kama wanapigana mara nyingi hivyo.
 
Mandonga amekuwa mjanja sana ...sasa anaokota walevi na wapiga debe ndo anataka kupigana nao kashajua game inataka nn!!!
 
big up mandonga
nakubali sana mtu kazi
niite mo11 kutoka mbagala majimatitu
 
Back
Top Bottom