Mandonga Vs Wanyonyi

Mandonga Vs Wanyonyi

SirAlfred006

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
517
Reaction score
1,243
Karim Mandonga and Daniel Wanyonyi are all ready and psyched up for the fight [emoji2935]
1673648186835.jpg
 
Mandonga apigwa mithili ya mbwa aliyeingia msikitini. 🤣🤣🤣
 
Mandonga apigwa mithili ya mbwa aliyeingia msikitini. 🤣🤣🤣
Haya sasa kashinda, ila wakenya wametokea kumkubali mandonga kuliko wabongo, nahisi wanyonyi alipewa mpunga na kina Jalango ili apoteze, maana KO gani ile alafu kuanzia round ya pili jamaa alikuwa harushi ngumi anamsubiri mandonga amgonge tu
 
Lini watanzania mtawasapoti wenzenu wakipata.Wakipigwa kwa kuonewa mnaendelea kuwakandamiza.Huenda chimbuko la uchawi ni Tanzania.
 
Haya sasa kashinda, ila wakenya wametokea kumkubali mandonga kuliko wabongo, nahisi wanyonyi alipewa mpunga na kina Jalango ili apoteze, maana KO gani ile alafu kuanzia round ya pili jamaa alikuwa harushi ngumi anamsubiri mandonga amgonge tu
Ungeenda wewe basi.
 
Back
Top Bottom