SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 517
- 1,243
Karim Mandonga and Daniel Wanyonyi are all ready and psyched up for the fight [emoji2935]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya sasa kashinda, ila wakenya wametokea kumkubali mandonga kuliko wabongo, nahisi wanyonyi alipewa mpunga na kina Jalango ili apoteze, maana KO gani ile alafu kuanzia round ya pili jamaa alikuwa harushi ngumi anamsubiri mandonga amgonge tuMandonga apigwa mithili ya mbwa aliyeingia msikitini. 🤣🤣🤣
Umeona eenhh?!.Watz hatupendani.Lini watanzania mtawasapoti wenzenu wakipata.Wakipigwa kwa kuonewa mnaendelea kuwakandamiza.Huenda chimbuko la uchawi ni Tanzania.
Ungeenda wewe basi.Haya sasa kashinda, ila wakenya wametokea kumkubali mandonga kuliko wabongo, nahisi wanyonyi alipewa mpunga na kina Jalango ili apoteze, maana KO gani ile alafu kuanzia round ya pili jamaa alikuwa harushi ngumi anamsubiri mandonga amgonge tu