aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Huko facebook kuna option huwa inauliza hivi 'Je, unafikiria nini?'Jf unaweza kujikuta unatongozwa na mwanao wa kumzaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko facebook kuna option huwa inauliza hivi 'Je, unafikiria nini?'Jf unaweza kujikuta unatongozwa na mwanao wa kumzaa
😂😂😂Jf unaweza kujikuta unatongozwa na mwanao wa kumzaa
Huko facebook kuna option huwa inauliza hivi 'Je, unafikiria nini?'
Hii hoja naiunga mkono [emoji41]Ingawa huwa una jokes za hapa na pale ila trust me you have something greater in your brain.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingawa huwa una jokes za hapa na pale ila trust me you have something greater in your brain.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hoja naiunga mkono [emoji41]
bado yule mshakunaku hearly sijui😅😅..khaa
Mpuuzie tu
Naona mmem-zoom dogoNimepata division one ya 11
Nimepata division one ya 11 - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpuuzie tu
Yani acha tuu.. Huyu nadhani hata D tatu za kwenda the amazon college kakosa.Sredi za hivi huwa zinanoga kama ni old members ndo zinakuwa na kauhalisia.
Sio join date leo, tayari ana comments za kipumbavu 3 afu anabana pua huku ana type nyai nyav nyuuuu. [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Shubaamit.
Hapa kuna watu wataniona kichaa ninamtongoza mtu ambaye sijawahi muona anafananaje,ila sikia nikwambie huwa nina angalia zaidi uwezo wa kufikiri wa msichana kuliko kitu kingine chochote kile, uwe na chura au usiwe nayo kwangu poa tu as long as unafikiria vizuri basi nina amini mbele yenye mafanikio makubwa .[emoji23][emoji23]sihadaiki ng'o!bye
❤️❤️at first nilipandwa hasira nw am okey..nalala..nyts
Hapa kuna watu wataniona kichaa ninamtongoza mtu ambaye sijawahi muona anafananaje,ila sikia nikwambie huwa nina angalia zaidi uwezo wa kufikiri wa msichana kuliko kitu kingine chochote kile, uwe na chura au usiwe nayo kwangu poa tu as long as unafikiria vizuri basi nina amini mbele yenye mafanikio makubwa .
Upo special sana, sawa na mama yetu Sky Eclat, nyinyi ni miongoni mwa womens ambao mmebarikiwa kuwa na super IQ.
Sent using Jamii Forums mobile app
❤️❤️
Dah hii reply aisee, hata kamaIt is senseless.
You do not deserve my attention.
You are just a horny brat.
Yani acha tuu.. Huyu nadhani hata D tatu za kwenda the amazon college kakosa.
Sent using Jamii Forums mobile app