Manengelo nakupenda

Manengelo nakupenda

nakupuuza kuanzia sasa...kama wanahonha wafate hao hao ukawachape nao..haitokuja mm kuhonga men[emoji57][emoji58]
Sijasema nataka unihonge, bali nimekupa tu mfano.

BTW mimi ni mchakarikaji na ninapenda sana kuishi na mwanamke mwenye upeo wa kifikra , sasa nimekufatilia kwa umakini nimegundua una reasoning capacity kubwa sana na kwa kiasi fulani ni rahisi kufikia mafanikio tukiwa wawili mimi na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂umenifananisha....sipo hvyo..asante kwa kuniwazia mema😅😅usk mwm..
 
Back
Top Bottom